Mwono wangu kuhusu neno kubwa la mada hii. Naona pande mbili za heading hiyo.
(a) Hakuna nchi inayoitwa Tanzania: Kuna United Republic of Tanzania.
Kwa hiyo huenda mchungaji anatukumbusha kuwa tusiseme Tanzania bali tuweke bayana kuwa ni United Republic of ... na kuendelea- bl;ah blah- utajaza mwenyewe. Nadhani hapa jibu ni rahisi tu, kila matu anaweza kuwa na lake lakini yote ni kutaka kufupisha jina. Ndiyo Maana nchi kama United States of America hujiita US au America.
(b)Tanzania ni jina ambalo hutumika kama kifupi cha United Republic of Tanzania inayoundwa na au kwa Tanzania ni blah blah tu.
Hapa kuna maswali wawili yenye kuweza kuwa majibu mengi sana tofauti.
(1) Je hicho kinachoitwa United Republic hakipo kwa vile hakuna union yoyote baina ya Tanganyika na Zanzibar?
(2) Je hicho kinachoitwa United Republic hakina jambo lolote ndani yake bali blah blah tu? yaani hakuna watu wala raslimali za asili.