Tanzania again has done it

http://www.kenyacardiacs.org/downlo...m 0 to 100 in 6 seconds - Mohammed JANABI.pdf
Hii link ni ya Kenya cardiologists association wanaizungumzis JKCI na kujaribu kuomba Masada ili Tanzanian isaidie Kenya katika eneo hill. Kamwe usilinganishe JKCI na Agakhan Nairobi, JKCI inafanyia upasuaji wagonjwa 1000 kwa mwaka wakati Agakhan hata 300 haijafikisha.

Kuhusu cancer treatment kuwa free of charge Tanzania, Tafadhali refer katika ile article inayozungumzia wakenya kuvuka mpaka kuja kufuata cancer treatment usome sababu zinazowafanya wakenya wavuke mpaka, moja ya sababu ni kwamba Treatment of cancer in Tanzania ni free.

Kuhusu idadi ya doctors wanaozalishwa Tanzania Vs Kenya, tafadhali tembelea google utajionea wewe mwenyewe.

Jambo linalojitpkeza wazi hapa ni kwamba tunashindanisha private Hospitals za Kenya na Government Hospitals za Tanzania, na bado private Hospitals zenu haziwezi fikia public hospitals za Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact no4 Ni uzushi mtupu,analipwa $700

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa hiyo PDF, capabilities na equipment za hio JKCI hazijaandikwa. Kwa hivo yote unayosema haina basis. As far as we know, inaweza kuwa tu jumba kubwa lililo na mashine mbili na vitanda elfu moja.

Hakuna popote ambapo cancer treatment ni free Tanzania. In fact, wagonjwa wamekuwa wakilalamika venye bei imekuwa ikipanda.
Cancer patients dig deeper to pay for treatment at the ORCI

Idadi ya madaktari nimekupa link lakini ndio hii tena. - Tanzania Doctors to Help Kenya Recover from Health Sector Strike

Tanzania 1:20,000
Kenya 1:16,000

Jambo linalo jidhibitisha wazi ni kwamba zile mashine zote zimo Tanzania, already kunazo Kenya.
Ilhali, Kenya kuna mashine aina mingi ambazo bado kufika Tanzania.
 
http://www.thecitizen.co.tz/News/Go...loy--study/1840340-3264502-mhxcp5z/index.html
Wewe huna akili unanipotezea muda bure, mimi ninazungumza kuhusu idadi ya madaktari wanaozalishwa kwa mwaka, wewe unazungumzia idadi ya walioajiriwa hospitalini, stupid kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
http://ihi.eprints.org/791/1/MoHSW.pdf_(14).pdf
Nimekuambia wagonjwa wa cancer hawalipii matibabu Tanzania, sawa na TB na HIV, haya tunayaita chronic diseases serikali inagharimia, hii ni Tanzanian inawajali wananchi wake, some pg4 juu ya hiyo picha, sisi sio man eat man Kama ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna pahali cancer imeandikwa ni free kwa hio PDF.
Cancer treatment is very expensive in Tanzania. Just like Kenya. Na wagonjwa wanalia kila siku.

TB na HIV treatment are also free in Kenya.
 
Hakuna pahali cancer imeandikwa ni free kwa hio PDF.
Cancer treatment is very expensive in Tanzania. Just like Kenya. Na wagonjwa wanalia kila siku.

TB na HIV treatment are also free in Kenya.
Shortages and late diagnosis hamper cancer treatment in Dar es Salaam
Paragraph 7, proves that Tanzania sio man eat man country like Kenya, we treat all cancer Victims free of charge, sasa Kama unasema matibabu ya cancer ni ghali sana serikali haiwezi kugharimia, je mwananchi wa kawaida ataweza?. Kwa kujua kwamba cancer treatment is very expensive majority can't afford that's why Tanzania government decided to make it free of charge, that's why a lot of Kenyans do cross border for free treatment(Paragraph 3).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna pahali cancer imeandikwa ni free kwa hio PDF.
Cancer treatment is very expensive in Tanzania. Just like Kenya. Na wagonjwa wanalia kila siku.

TB na HIV treatment are also free in Kenya.
http://www.thecitizen.co.tz/News/Ca...r-treatment/1840340-3164016-f6yw96/index.html
Wewe hata kiingereza pia ni tatizo?, paragraph 7 imekishinda kuielewa?. Usilinganishe tena Kenya Tanzania katika sector ya Afya. We are far ahead of you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cancer patients cross into TZ for treatment
Wewe hata kiingereza pia ni tatizo?, paragraph 7 imekishinda kuielewa?. Usilinganishe tena Kenya Tanzania katika sector ya Afya. We are far ahead of you.

Sent using Jamii Forums mobile app
calm down utapata tabu sana. Tanzania is far behind Kenya in anything & everything you can think of. Don’t fool yourself. Tazama how every sentence about Tanzania starts with “one of the poorest countries in the world”.



Tz 1 doc per 30,000
KE 1 doc per 5,000

Health care quality in Africa: Uganda, Nigeria, Tanzania, Zambia, Kenya, Zimbabwe and South Africa | Aetna International
 
Hahahahahahahaha, last kicks of a dying fool[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya hiyo budget ya ksh 60 + ufisadi = Ksh 28 Bil ndiyo maana wakenya wanashindwa kuelewa kwanini serikali ya tz inaweza kufanya miladi mikubwa Kwa fedha zake na kununua ndege cash huku Kenya aiwezi sababu ni hii
EVER 100KSH = 100KSH - UFISADI = KSH 30
This means ufisadi ni 70% ya kila shilingi ya kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…