joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #61
Hawaamini kusikia jinsi Tanzania inavyoweza kufanya mambo makubwa kwa pesa yake, wanashangazwa kuona jinsi serikali inavyowajali raia wake sio Kama Kenya "man eat man". Wamebaki kujisifia na GDP isiyo na faida yoyote kwa wananchi hata kuwatibu bure wagonjwa wa cancer ambao wengi ni masikini sana GDP haiwezi, kweli Kenya ni failed state.
Wakenya hiyo budget ya ksh 60 + ufisadi = Ksh 28 Bil ndiyo maana wakenya wanashindwa kuelewa kwanini serikali ya tz inaweza kufanya miladi mikubwa Kwa fedha zake na kununua ndege cash huku Kenya aiwezi sababu ni hii
EVER 100KSH = 100KSH - UFISADI = KSH 30
This means ufisadi ni 70% ya kila shilingi ya kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mbumbumbu ujui ufisadi nini polisi anayelipwa mshahara ili apambane na wauza madawa ya kulevya ila yeye anashilikiana na wauzaji ujue huo mshahara anaolipwa unageuka ufisadi piaMishahara 50%, ufisadi 70%, Total 120%
Kweli elimu ya Tanzania ni nje.
Hizo propaganda zenu zinamaanisha Kenya hakuna barabara hujengwa, hospitali, shule etc.. 60% ya bajeti ikilipa mishahara, hio ingine inaibiwa.
Kweli yule deputy pm wenu amewaweza. Endeleeni kufikiri you're the best in everything.
Cancer patients cross into TZ for treatment
Wewe hata kiingereza pia ni tatizo?, paragraph 7 imekishinda kuielewa?. Usilinganishe tena Kenya Tanzania katika sector ya Afya. We are far ahead of you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mbumbumbu ujui ufisadi nini polisi anayelipwa mshahara ili apambane na wauza madawa ya kulevya ila yeye anashilikiana na wauzaji ujue huo mshahara anaolipwa unageuka ufisadi pia
Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Maana ufisadiMjinga wewe. When you say 70% of our budget is lost to corruption, inamaanisha nini? Rudi shule.
Why then our people are always on the way to/from SA and India !!!!!!!!!Tanzania is the leading country in Africa by the best quality in medical care
That's personal preference where to be treated but what they are looking for overseas are what we provide even better.Why then our people are always on the way to/from SA and India !!!!!!!!!
Kenya mna bajaji?Wacha nirudie Jambo moja - ukiona kitu Tanzania, jua Kenya kipo. Usije ukashoboka bure. BRT pekee ndio kitu mmetutangulia.
We may have facilities, but still with inadequate professionals, imagine going to the hospital i January seeking for treatment, then your are schedule for September, does sikcness wait for such a long time ?That's personal preference where to be treated but what they are looking for overseas are what we provide even better.
Hii ni dalili ya kushindwa, baada ya kukuonyesha Tanzania inazalisha 1000 Medical doctors na Kenya 700, na kukuthibitishia kwamba tunatibu bure wagonjwa wa cancer, umeamua kuhamisha goli, my friend Tanzania ni moto wa kuotea mbali, hata huko kwenye mortality rate nikikuletea data za mwaka jana utashangaa, in nutshell please stop compare Tanzania and Kenya in health sector, we don't match.Endelea kuota.
Go work on your mortality rate. Inakaa sector ya afya yenu haijaisaidia kuwa higher than Kenya.
Weka muziki acha porojoMpuuzi wewe
FactKaribu sana upate huduma bora za matibabu, hii ndio maana halisi ya maendeleo ya watu, sio kujenga malls no majengo marefu wakati huduma za msingi zipo katika hali mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact 6: Kenya has a better doctor to population ratio than Tanzania.What does a strike have to do with better health care services? You truly are retarded.
In any case, if your doctors came here, they would have been earning triple the salary.
Fact 1: Kenya has a smaller population and a higher health budget than Tanzania.
Fact 2: Kenya has at least 4 Linac machines. Tanzania has 0.
Fact 3: Kenya has 1 PET machine. Tanzania has 0.
Fact 4: Lowest paid Kenyan doctor earns $1500. Lowest paid Tanzanian doctor earns $500.
Fact 5: KNH, Aga Khan Nairobi, Nairobi hospital etc. have been overloaded by Tanzanians and Ugandans. Aga Khan even has a dedicated service for 'foreigners'.
Fact 6: Kenya has a better doctor to population ratio than Tanzania.
To be honest, I don't even know what the debate is about. There is not a single aspect or statistic that you're ahead of Kenya. Arguing the whole day won't change that.
Here's another one I had missed. Aga Khan Nairobi also has a Linac machine.
View attachment 850525