Tanzania aibu gani hii?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
NI AJABU MNO KUONA/KUSIKIA VYOMBO VYETU VYA HABARI KUONA UFAHARI KUONESHA 'LIVE' MECHI ZA SOKA LA KLABU ZA ENGLAND NA KUACHA KUFANYA HIVO KWENYE KOMBE HILI LA AFRIKA ACHILIA MBALI LIGI YETU. KAMA MIE NINGEKUWA WAZIRI NAAPA NINGEFUNGIA MAISHA TELEVISION AMBAYO HAINA UZALENDO. ANGALIA KWA MFANO STAR TV WAKO RADHI KUWEKEA "RECORDED" YA MECHI ZA ENGLAND!!!!!!!!!!
TUTAENDELEA KUSIKILIZA MATANGAZO YA MECHI KUPITIA RADIO MPAKA LINI???????????:A S embarassed:
JAMANI HAMJAPATA UHURU TUU JAPO WA MAWAZO
 
Gharama za kulipia ili kurusha live hizi mechi za AFCON zimekuwa juu sana na kwa kuwa TV station zetu ni za kuunga-unga wameshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…