Tanzania aids candlelight si ya wazungu

machozimaji

New Member
Joined
Apr 4, 2008
Posts
3
Reaction score
0
Kila Jumapili ya Tatu ya mwezi wa Tano watu wote ulimwenguni huwasha mishumaa kuwakumbuka waliopoteza Maisha kutokana na UKIMWI/AIDS.Serikali za Nchi nyingi sana zimeifanya siku hii kuwa maadhimisho ya kitaifa,lakini ni watanzania wangapi wanaoijua AIDS CANDLELIGHT EVENT? Hata TACAIDS na NACP na Wizara ya Afya hawaijui.Hivi karibuni Global Health Council ilimteua Dr.Isangula kuwa msimamizi wa Candlelight nchini,nilipata nafasi ya kuonana naye na masikitiko yake makubwa ni kwa jinsi watanzania wanavyodhani event hii ni ya Wazungu,amekuwa akihangaika TACAIDS na NACP ili waitambue siku hii na kuiingiza katika programme za Ukimwi nchini lakini wapi.Hebu Tuzinduke jamani kwani Mwaka huu tarehe 17 May Ulimwengu mzima utawasha mishumaa ya amani na matumaini kuwakumbuka waliokufa kwa Ukimwi.Hii ni siku ambayo tunaweza kuelimishana na kukumbushana wajibu wetu katika mapambano ya ukimwi.Kwa taarifa zaidi tembelea International AIDS Candlelight Memorial
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…