Sidhani kama kuna benefit yoyote kwa Tz.
Hao wazungu lengo lao ni kuchota madini bhaaas! Watachukua madini yetu watupe pesa kidogo ambazo nazo tutazitumia kulipa madeni wanayotudai.
Mwisho wa siku wanatuachia mahandaki kama kumbukumbu ya ujinga wetu.