Tanzania among weakest currencies in Africa

Labda wataalam wa uchumi wangetusaidia kwa hill.
Nina maswali labda linaweza kupatiwa majibu hapa.
1:Ni athali gani za kiuchumi ambazo nchi inaweza kupata, tukiamua kutoa sifuri mbili kwenye pesa yetu?
2:Je benki kuu haioni sasa ni muda muafaka kufanya hivyo?
Mifano tunayo ya inchi ambazo awali pesa zao zilikuwa hazina thamani ila baada ya kutoa sifuri mbili Leo hii yao imekuwa na na thamani.
Kwa mfano Zambia zamani ukiwa na kwacha K10000 ilikuwa sasa na sh2500 ya kitanzania.
Leo hii ni kinyume chake K100 sawa na sh17000
Na msumbiji ni ilikuwa ukiwa na mitkash M10000 unapata sh2000 ya kitanzania, Leo hii imekuwa kinyume chake sh10000 ni sasa M250
Nini ninachofanya tushindwe kupunguza sifuri kwenye pesa yetu?
Na kingine ambaco kinaendana na hilo, ule msemo wa laki si pesa zama zake zimepita. Siku hizi ukiwa na noti ya sh10000 uswahilini na vijijini utahangaika kutafuta chenji. Na hii inatokana na uchumi kuimalika
Maoni yangu ni kwamba sasa ni muda muafaka Wa benki kuu kubadilisha noti ya sh10000 iwe sh1000 au sh100 na sh5000 iwe sh500 au sh50 na kuwe na noti za sh50 sh20 sh10 na kuwe na coins za sh5 sh2 sh1 na ct10
Kwanini nasema hivyo wezetu Wa inchi za kusini mwa afrka hakuna nchi yenye noti ya sh10000 na sh 5000
Na kwa nchi kama south Africa noti yao kubwa ni Rand R200 hawana noti iliyozidi hapo. Je sisi tukiwa na noti isiyo zidi sh 1000 kuna athali gani kiuchumi?
Naomba wachumi au wenye uelewa wa mambo ya currents watusaidie, vipofu kama mimi tukae tuchukue desa tusichafue Uzi.
 
Nakazia tu.
Majibu Tafadhali...
 
Labda wataalam wa uchumi wangetusaidia kwa hill.
Nina maswali labda linaweza kupatiwa majibu hapa.
1:Ni athali gani za kiuchumi ambazo nchi inaweza kupata, tukiamua kutoa sifuri mbili kwenye pesa yetu?
A Rose by any other name will just smell as sweet....
 
Mod ikiwezekana amisha Uzi huu uende kwenye habari mchanganyiko maana huku wachangiaji wachache. Tulikuwa tunaitaiji majibu ya wachumi na wataalam wa mambo ya fedha. Tafadhari mod tusaidie kuamishà Uzi huu, labda jukwaa la habari mchanganyiko unaweza kupata wachangiaji.
 
Daah ingekua poa hawa wataalamu wa,uchumi tuwasikie wanasemaje,na nini kilipelekea, tukazid ongeza 00 kwenye fedha zetu? tunawasubiri mje mshushe nondo huku.
 
Vita vya uchumi ni vita vbaya mno
Quoted as from his excellency JPM
 
Tukitoa sifuri moja nadhani itapendeza zaidi maana sahv shiling yetu haishuki kwa kasi kama apo nyuma
 
Why dont yhe government apply elimination of zeros

Currently
1 usd =2300tsh

After eliminating zero
1usd =230tsh

Then our lowest will be 5tsh instead of 50tsh

And our highest currency will be 1000 instead of 10000tsh

Ebu tujaribu kutoa iyo sifuri tuone kama atujawa kama zimbabwe
 
Hivi mkuu upo serious ?

currency inaweza kuwa kitu chochote kinachokubalika na wahusika thamani yake, ndio maana kuna magereza sigara zinaweza kutumika kama currency yaani thamani yake inakubalika na jamii husika.., kwahio upande mmoja hauwezi ukaamua kuita laki tano milioni moja hata ukiita milioni moja bado thamani yake itakuwa laki tano..., yaani kama thamani ya elfu kumi ni gunia la mahindi, ukitoa sifuri iwe 100, basi thamani ya gunia litakuwa hizo (tshs 100 mara mia moja) yaani elfu 10
 
Yeah hichi ndo nachomaanisha
Imradi hella yetu isionekane tupatupa
Kila kitu kibaki kilivyo ila ndo hvyo sufuri moja itoke ili tuwe na sh tano tena
 
kwahio kuna tshs 5 lakini hakuna kitu cha tshs 5 (cost za kutengeneza hio tshs tano goes to waste)
Kuna vitu vya elfu 10 lakini hakuna tshs elfu 10 (ukitaka kununua gari kwa cash inabidi ubebe briefcase za kutosha au unakuja na pick up imejaa pesa ili ununue baiskeli ?

By the way watu tunataka kwenda kwenye electronic currency haya mambo ya coins na notes ni zama za kale...
 
Hivi mkuu upo serious ?

currency inaweza kuwa kitu chochote kinachokubalika na wahusika thamani yake, ndio maana kuna magereza sigara zinaweza kutumika kama currency yaani thamani yake inakubalika na jamii husika.., kwahio upande mmoja hauwezi ukaamua kuita laki tano milioni moja hata ukiita milioni moja bado thamani yake itakuwa laki tano..., yaani kama thamani ya elfu kumi ni gunia la mahindi, ukitoa sifuri iwe 100, basi thamani ya gunia litakuwa hizo (tshs 100 mara mia moja) yaani elfu 10
Mkuu thamani ya fedha si inashuka na kupanda? Utakumbuka hapo nyuma sh20 yetu ilitwa pound, hii ilitokana thamani £1=sh20 na Zimbabwe wameanza kutumia dollar yao tena. Kumbuka kilicho changia kiasi kikubwa kushusha fedha yetu, ni matumizi makubwa fedha za nje kwenye manunuzi. Juzi kati umemsikia gavana akiziambia Benki kuwa ziende benki kuu kukopa, zipo pesa za kigeni zakutosha kufanya biashara ya kubadilisha pesa za kigeni. Na amini kama sh yetu iko stable una vitu vingi vya mfano. Ila nitakupa mfano mmoja nauli ya dala dala south africa ni kati ya R12-R17 wakati sisi ni kati ya SH400-SH700. Ukiconvert rand 1 = sh 164 kwahiyo nauli ya daladala kwa south Africa ukiconvert ni kati sh1900-sh2800 wewe hilo unaona limekaaje? Na ndiyo maana nikaomba wenye weredi na maswala ya fedha watusaidie kutupiga msasa.
 
Unajua kilicho fanya dollar ya kale, Zimbabwe kuanguka au mradi umekomenti?
Yani we unaakili ndo sana kwa jinsi ulivyoanza hata kuni attack bila kufikiri zimbabwe kimetikea nn sijasema kuwa zimbabwe wametoa zero kwenye pesa yao nimeongelea mfano wa mdororo wa kiuchumi we nadhani hata uelewa wako kiuchumi ujui chochote unatafuta mtu wa kutukanana nae tu mpuuzi we kama unauelewa kiuchumi toa facts sio unataka leta utumbo wako haya sema vp ikitolewa zero itakuaje kama ujui kaa kimya bwege
 
Back
Top Bottom