Tanzania and Ethiopia are the two strongest growing Economies in East Africa

Tanzania and Ethiopia are the two strongest growing Economies in East Africa

Ethiopia iko juu sana, kwa ukuaji huo itafika mbali sana
Ethiopia wana invest 24/7 kwenye infrastucter kama anavyofanya Magufuli kwa sasa. Muda wowote phase 3 ya SGR itatanganzwa pia viwanda vinajengwa kwa kasi nchini Tanzania kama Ethiopia. Mikakati yakimaendeleo iko vizuri chini ya Magu
 
Back
Top Bottom