NairobiWalker JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 14,267 Reaction score 14,890 Feb 28, 2021 #21 simon2016 said: Wewe bongo kuna channel zinatengeneza views zaidi ya wasafi na huzijui zipo youtube humomo, tafuta watu wenye matakomatako utaona huko youtube. Click to expand... Zipo ila hazifikii za Kenya.
simon2016 said: Wewe bongo kuna channel zinatengeneza views zaidi ya wasafi na huzijui zipo youtube humomo, tafuta watu wenye matakomatako utaona huko youtube. Click to expand... Zipo ila hazifikii za Kenya.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 28, 2021 #22 Ahsante kwa taarifa...
GODZILLA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 5,909 Reaction score 10,542 Mar 1, 2021 #23 MK254 said: Hadi ujue kingereza kwanza hautaelewa. Click to expand... Hahahaaaa..... zee la kizungu unapata tabu!
MK254 said: Hadi ujue kingereza kwanza hautaelewa. Click to expand... Hahahaaaa..... zee la kizungu unapata tabu!
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Mar 1, 2021 #24 GODZILLA said: Hahahaaaa..... zee la kizungu unapata tabu! Click to expand... Lazima ujue kizungu kwanza ndio ufikie hadhi ya kujadili chochote na mimi....pole sana...hehehe Siku utajua kizungu utapunguza hizi hasira...
GODZILLA said: Hahahaaaa..... zee la kizungu unapata tabu! Click to expand... Lazima ujue kizungu kwanza ndio ufikie hadhi ya kujadili chochote na mimi....pole sana...hehehe Siku utajua kizungu utapunguza hizi hasira...