Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Watanzania wengi wanapohamasishwa kuzaa watoto wachache kwa uzazi wa mpango huwa wabishi sana na mojawapo ya hoja yao kubwa ni kwamba Tanzania bado ina ardhi kubwa sana na inahitaji watu wengi zaidi, cha kushangaza tena ni kwamba wawekezaji wageni wanapopewa ardhi kunazuka vurumai kubwa sana na kelele kila upande wa ardhi kuchukuliwa!
Hao wanaonyang'anywa ardhi kwa nini wasihamie tu kwenye hayo mapori makubwa yanayosemwa yako wazi yanahitaji kujazwa na watu?
Hao wanaonyang'anywa ardhi kwa nini wasihamie tu kwenye hayo mapori makubwa yanayosemwa yako wazi yanahitaji kujazwa na watu?