Hapa atakua amekuandikia shemeji sio?Hao wanaonyang'anywa ardhi kwa nini wasihamie tu kwenye hayo mapori makubwa yanayosemwa yako wazi yanahitaji kujazwa na watu??
Hii nchi haina watu wazuri wa mipango na mambo mengi yanaendeshwa kiasiasa ndio tatizo lilipo..Watanzania wengi wanapohamasishwa kuzaa watoto wachache kwa uzazi wa mpango huwa wabishi sana na mojawapo ya hoja yao kubwa ni kwamba Tanzania bado ina ardhi kubwa sana na inahitaji watu wengi zaidi, cha kushangaza tena ni kwamba wawekezaji wageni wanapopewa ardhi kunazuka vurumai kubwa sana na kelele kila upande wa ardhi kuchukuliwa!
Hao wanaonyang'anywa ardhi kwa nini wasihamie tu kwenye hayo mapori makubwa yanayosemwa yako wazi yanahitaji kujazwa na watu?
Mbona Wa-Israeli wanalima jangwani wakiwa vitani hadi wanasafirisha nje ya nchi na kufundisha Waafrika kilimo pia??Umezoea kulima zabibu Dodoma alafu mtu aje akuhamishie sehemu zabibu hazilimiki ,ww ungekubali kuhama kienyejii mkuu!!
Si kuhusu ardhi tu mkuu ingekuwa hivyo basi wachaga wangekuwa wanauza ardhi za koo zao. Hujawahi jiuliza kwanini waisrael walikataa kuhamishiwa uganda wakarudi pale israel wakipigane na wapalestina lakini uganda wakagoma japo ardhi ya uganda ina rutuba zaidiWatanzania wengi wanapohamasishwa kuzaa watoto wachache kwa uzazi wa mpango huwa wabishi sana na mojawapo ya hoja yao kubwa ni kwamba Tanzania bado ina ardhi kubwa sana na inahitaji watu wengi zaidi, cha kushangaza tena ni kwamba wawekezaji wageni wanapopewa ardhi kunazuka vurumai kubwa sana na kelele kila upande wa ardhi kuchukuliwa!
Hao wanaonyang'anywa ardhi kwa nini wasihamie tu kwenye hayo mapori makubwa yanayosemwa yako wazi yanahitaji kujazwa na watu??
alikuwa anayasema katili magufuliWatanzania wengi wanapohamasishwa kuzaa watoto wachache kwa uzazi wa mpango huwa wabishi sana na mojawapo ya hoja yao kubwa ni kwamba Tanzania bado ina ardhi kubwa sana na inahitaji watu wengi zaidi, cha kushangaza tena ni kwamba wawekezaji wageni wanapopewa ardhi kunazuka vurumai kubwa sana na kelele kila upande wa ardhi kuchukuliwa!
Hao wanaonyang'anywa ardhi kwa nini wasihamie tu kwenye hayo mapori makubwa yanayosemwa yako wazi yanahitaji kujazwa na watu??
Ana kisirani leo.Umeamka na hili ndilo wazo la kwanza kukujia?
Sasa mkuu mkulima wa eka 5 mtaji wenyewe wakuunga unga ataweza kweli kulima jangwani πππMbona Wa-Israeli wanalima jangwani wakiwa vitani hadi wanasafirisha nje ya nchi na kufundisha Waafrika kilimo pia??
Tatizo muwekezaji anataka haphapo kwenye watu, huko kwenye ardhi kubwa unakosema hapataki. Mfano muwekezaji mmoja aliwahi kupewa heka 26000, wananchi akawa na mgogoro kwenye hekari 6000. Cha ajabu alikuwa na kiu na hizo 6000 kuliko 20k zisizo na mgogoro kiasi kwamba hadi anatimuliwa na eneo kupewa mwingine huko hajafanya kitu.Watanzania wengi wanapohamasishwa kuzaa watoto wachache kwa uzazi wa mpango huwa wabishi sana na mojawapo ya hoja yao kubwa ni kwamba Tanzania bado ina ardhi kubwa sana na inahitaji watu wengi zaidi, cha kushangaza tena ni kwamba wawekezaji wageni wanapopewa ardhi kunazuka vurumai kubwa sana na kelele kila upande wa ardhi kuchukuliwa!
Hao wanaonyang'anywa ardhi kwa nini wasihamie tu kwenye hayo mapori makubwa yanayosemwa yako wazi yanahitaji kujazwa na watu??
Wachaga hawana ardhi ya kuuza, ardhi ya wachaga imebaki ya bustani za mboga tu, hata wao wenyewe haiwatoshi na wengi wamehamia mikoa mingine. Israel hawajawahi kukataa kuhamia Uganda, kwanza walikuwa hata hawapajui, wengahamiaje sehemu hawapajui.Si kuhusu ardhi tu mkuu ingekuwa hivyo basi wachaga wangekuwa wanauza ardhi za koo zao. Hujawahi jiuliza kwanini waisrael walikataa kuhamishiwa uganda wakarudi pale israel wakipigane na wapalestina lakini uganda wakagoma japo ardhi ya uganda ina rutuba zaidi
Wananchi wamauachie muwekezaji hapo anapopataka wao wahamie huko kwenye ardhi kubwa, si inasemwa ardhi iko tele Tanzania, ya nini kugombanaTatizo muwekezaji anataka haphapo kwenye watu, huko kwenye ardhi kubwa unakosema hapataki. Mfano muwekezaji mmoja aliwahi kupewa heka 26000, wananchi akawa na mgogoro kwenye hekari 6000. Cha ajabu alikuwa na kiu na hizo 6000 kuliko 20k zisizo na mgogoro.
ingekuwa kuhusu ardhi wangekubali. ardhi inafuatana na historia, na identity ndio maana watu sometimes unakuta unahudumia nyumba na ardhi huko kijijini umewaka hadi watu unawalipa na hakuna chochote unachopata financially ila tu unaitunza kwa sababu ni identity yako, ni chanzo chako tu.Wachaga hawana ardhi ya kuuza, ardhi ya wachaga imebaki ya bustani za mboga tu, hata wao wenyewe haiwatoshi na wengi wamehamia mikoa mingine. Israel hawajawahi kukataa kuhamia Uganda, kwanza walikuwa hata hawapajui, wengahamiaje sehemu hawapajui.
Unaweza kuanzisha identity yako sehemu nyingine, usikariri maisha.ingekuwa kuhusu ardhi wangekubali. ardhi inafuatana na historia, na identity ndio maana watu sometimes unakuta unahudumia nyumba na ardhi huko kijijini umewaka hadi watu unawalipa na hakuna chochote unachopata financially ila tu unaitunza kwa sababu ni identity yako, ni chanzo chako tu.
easily said than done maana watu wanakuwa wameishi pale generation na generationsUnaweza kuanzisha identity yako sehemu nyingine, usikariri maisha.
Heri yao kuliko wewe aise. Hata wazum.bukuku huwa wana mawazo mazuri kiasi pale waamkapo. Wewe ni hopeless kabisa...Bora mimi, kuna watu wameamkia Simba na Yanga.