Hilo ni kabila la Rais wa Tanzania sijui linahusu nini kwenye hii mada?
Kuzunguka kooote huko, tatizo lako ni Rais? au tatizo Wakwere? au Wasomali? au ni Kichwa chako? au Wachagga?
Maana ukiona mtu anamuonea uhasidi mwenzake kwenye mambo ya majengo hapa Tanzania ujuwe huyo ni Mchagga.