nimekusoma hapo kwenye swala la kudhaminiwa na kampuni za vilevi ,kamali wanakaza tuu Ila watakuja kuachia wenyewe
Yap tuvute subraNgoja tusubiri . Tuombe uzima mkuu.
Ligi ya muungano irudiKulingana na mfumo wa serikali zetu haitawezekana maana Zanzibar wanapigania wapate kiti umoja wa mataifa, pia wanapigania wapate ushiriki wa kombe la Africa na Dunia. Hivyo kuunganisha Ligi kutakwamisha jitihada zao na wao hawawezi kukubali.
Kama unataka hili shauri serikali yetu upande wa Bara na Visiwani uunde serikali moja tofauti na hapo haitawezekana na haitakaa iwezekane
ZBC 2 Azam ndo wanaitawalaNi vigeugeu tu hao, mbona channel yao ya ZBC2 wanaonesha CAF champions league na confideration cup ambapo miongoni mwa wadhamini wakuu ni 1X betting, kabla ya kickoff wanalicheza kwanza hilo tangazo kina yakhe wanaona.