Nimejikuta nacheka baada ya kukumbuka kaulu ya aliyekua kocha wa Taifa Stars ,Maximo,baada ya kuifunga Burkina faso kwamba sababu Burkina Faso waliifunga Senegal ambayo ilitufunga 4-0,na ambayo iliifunga France World Cup.
Sasa akasema if Senegal beat France,Burkina Faso beat Senegal,and Tanzania beat Burkina faso,so TANZANIA BEAT FRANCE,yaani bonge la shortcut.
Dah jamaa alinogesha sana soka letu,hata sijui yukwapi kwa sasa.