Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Bei elekezi, mbona juu namna hiyo? miatatu 300 sio mchezo hata hiyo 30 ya diesel italeta matatizo. Ila shilingi nayo imetepweta jioni hii soko linafungwa $1:1,570/= hali si hali.
tusio na magari raha, labda ninywe ya buku tano tu.
Kama huna gari utapanda bodaboda au daladala. Kwa bei hiyo expect nauli kupanda na. Ya chakula pia au unakula nyasi?
wataongeza zaidi ya sh. Mia kweli??
Labda msosi ndio loss.
leo ni 2300
petrolhiyo ni bei ya petrol, diesel au kerosine?
petrol
haya bhanaa sasa sijui kwa mikoani kama Mwanza, Mbeya, Kigoma si ndio itakua kama 2700 flani hivi