Tanzania Beurial of standard inakera

zubedasoud

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
91
Reaction score
117
Shirika la viwango Tanzania ,kazi zao hazionekan na hii inanifanya nsione umuhim na ufanisi wa utendaj kazi wao
,Leo asubuh naenda dukan kununu sukarr nakutana na sukar fake ,sukar inapackage na brand ya kilombero,yaani taabu tuu,vitu fake vingi has a maeneo ya vijijini huku,TBS wamepiga chapa ila ndani product ni fake,ushaur wasikazane kupiga chapa viwandan badala yake wafanye ukaguzi madukan,hasa mkoa wa simiyu huku vitu fake in vingi
 
Shirika la viwango Tanzania ,kazi zao hazionekan na hii inanifanya nsione umuhim na ufanisi wa utendaj kazi wao
Tanzania Beurial of Standard ndo kitu gani...kwani sukari fake inasifa gani?
 
Shirika la viwango Tanzania ,kazi zao hazionekan na hii inanifanya nsione umuhim na ufanisi wa utendaj kazi wao
Then zitafute kazi zake utaziona... Coz usitegemee utazijua kwa kusikiliza xxxl au kuwasikiliza wakina SHILAWADU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…