Tanzania bila ya CCM inawezekana

Tanzania bila ya CCM inawezekana

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Ikiwa imebakia takribani mwezi moja kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji je WATANZANIA wanaweza kusema msemo huu TANZANIA bila ya CCM inawezekana
 
Ikiwa imebakia takribani mwezi moja kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji je WATANZANIA wanaweza kusema msemo huu TANZANIA bila ya CCM inawezekana

Tanzania bila CCM HAIWEZEKANI
Nambari Wani ni CCM
CCM Juu, Juu, Juu zaidi.
Vyama vingine vinaiga tu.
 
Tanzania bila CCM HAIWEZEKANI
Nambari Wani ni CCM
CCM Juu, Juu, Juu zaidi.
Vyama vingine vinaiga tu.

You're about as useful as a one-legged man at an arse kicking contest.

ushabiki usio na tija!!!
 
Back
Top Bottom