tanzania billionaire said salim bakhresa is on another level. he is feeding south africa.

takataka hiyo
Ukiona mtu ameanza matusi jua hakutarajia Kenya inaeza kuwa na investors nje ya East Africa....ulidhani umepata point ya kutubana....pole Sana....In a million years you will remain behind Kenya in everything!
 
Kenyan Tycoons among the others might be the engine behind Bakhresa group of companies...

With the dirty money and staff they know how to play with shares
pwahahaha.
 
jibu swali, hao matajiri wenu hapo kenya including wanasiasa wanawekeza pesa zao wapi nje ya east africa?.

onyesha big investment za wakenya zilizopo nje ya east africa.
Wanafungia ndani hahahah
 
Ukiona mtu ameanza matusi jua hakutarajia Kenya inaeza kuwa na investors nje ya East Africa....ulidhani umepata point ya kutubana....pole Sana....In a million years you will remain behind Kenya in everything!
onyesha big factory ya mkenya nje ya mipaka ya EA. acha porojo
 
Hahahahaha unamjua bakhresa wewe hahahaha eti share hahahahaha Dogo una miaka mingap??
Kenyan Tycoons among the others might be the engine behind Bakhresa group of companies...

With the dirty money and staff they know how to play with shares
 
Hahahahaha unamjua bakhresa wewe hahahaha eti share hahahahaha Dogo una miaka mingap??
Wewe cheka tu Mkuu ...Bakhresa unayemjua wewe ni wa sura tu kunaweza kukawa na Bakhresa kumi tofauti kwenye kampuni hiyo sijui cha kushangaza hapo ni kipi ?
Halafu usiniite dogo mimi nimezaliwa wewe bado unatafunwa kwenye karanga
 
umepata hasira....you have nothing to show me. you are twice a fool.
Yes I have nothing to show a dimwit like you who thinks investment is big factories only....Tanzania ya Viwonder with Magu'fool as the lead has hardwired your brains to make all you think like fools.....Kenyans have invested in all sectors of the economy globally, if you want evidence,Google is your friend, usiniletee uvivu wa Wadanganyika Mimi!
 
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Jamaa anafanya vizuri sana na nimtaji wa kuigwa
 
Kwa kauli hizi

Nachelea kusema kuna siku zinakuja huyu BAKHRESA atapewa uraia wa Kenya.

Muda ni mwalimu mzuri asee
Wewe cheka tu Mkuu ...Bakhresa unayemjua wewe ni wa sura tu kunaweza kukawa na Bakhresa kumi tofauti kwenye kampuni hiyo sijui cha kushangaza hapo ni kipi ?
Halafu usiniite dogo mimi nimezaliwa wewe bado unatafunwa kwenye karanga
 
Kwa kauli hizi

Nachelea kusema kuna siku zinakuja huyu BAKHRESA atapewa uraia wa Kenya.

Muda ni mwalimu mzuri asee
Hapo kuna kitu gani cha ajabu ? Mimi ni Mtanzania na Kampuni yeyote ina shareholders kwanini isiwe kwa Bakhresa ?
 
Kama ni mtz ujue umewafungua macho hawa jamaa

Ukikuta huyu muwekezaji ana uraia wa kebya huku mwenyewe hajui kama ni raia wa nchi hiyo usishangae

Rejea mount. Kilimanjaro
JPM
Hashm Thabit
Huyu dogo anaefanya kazi kwa Bill gate
Na juzi juzi Diamond

Ndio utajua namanisha nini
Hapo kuna kitu gani cha ajabu ? Mimi ni Mtanzania na Kampuni yeyote ina majority shareholders kwanini isiwe kwa Bakhresa ?
 
soon kenyans will claim bakhresa is a kenyan.
 
Wewe cheka tu Mkuu ...Bakhresa unayemjua wewe ni wa sura tu kunaweza kukawa na Bakhresa kumi tofauti kwenye kampuni hiyo sijui cha kushangaza hapo ni kipi ?
Halafu usiniite dogo mimi nimezaliwa wewe bado unatafunwa kwenye karanga
biashara ya bakhresa ni yeye mwenyewe mzee saidi na watoto zake. hakuna mwanasiasa wa kenya, tz au wa nchi yoyote aliyeingiza pesa za kifisadi kwenye biashara za bakhresa. hakuna, take it from me.
 
biashara ya bakhresa ni yeye mwenyewe mzee saidi na watoto zake. hakuna mwanasiasa wa kenya, tz au wa nchi yoyote aliyeingiza pesa kwenye biashara za bakhresa.
Salim Ahmed Salim unamjua vizuri ?
Kabla hujaja na ultimatum zako fanya research kidogo

Vinginevyo utaonekana Poyoyo tu

Ngoja kwanza wewe ni vegies wa Lumumba ? Nisije nikawa napoteza muda kwa kamongo wenye vichwa vigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…