Labda siku ikianzishwa Afkoni ya majungu, figisu, ufisadi, upigaji dili, wizi wa kura, uchawa, kujipendekeza,
Ila siyo hiyo AFCON ninayoifahamu mimi. Huko tutaendelea kushiriki tu, badala ya kwenda kushindana! na pia tutaendelea kushika mkia kwenye kundi letu mara zote tutakapopata nafasi.
Mpira umebadilika sana...
Timu yetu ya taifa haina wachezaji wenye uzoefu...kifupi ina juniors in terms of experience.
Kwahiyo watajifunza mbinu za mpira