Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
Jemeni Tz mnaelekea wapi? katika hali ya kuinua uchumi na kushindana na Kenya katika kukusanya ushuru, serikali uko imeona ni vizuri bloggers kulipa $ 900. hehehe si semi kitu, swali tu ni wangapi hapa jamii wataweza kulipa hizo hela?
Nawaomba wakenya walio hapa kabla kumjibu mbongo muulize kama kwanza amelipa hizo hela 😀😀😀
You now have to pay the government over $900 a year to be a blogger in Tanzania
Bloggers Now Have to Pay the Government Over $900 to Operate in Tanzania