Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
πππ Eti Geza nani?
Kuna mtu alitupia tusi moderators wakaslash everything! Ni Kama findiyo ni kama ndrrama. πI don't know wo happened. I'm no longer seeing that post.
Hawa wengi na makajamba tu wamefulia huja kutolea stress huku, sasa uwaagize walipe $900 si ndio utakua umewamaliza. Utakuta mtu anakesha humu hata unashindwa lini hupata fursa ya kupiga meno mswaki, atajibu uzi kwa uzi yaani unakuta uzi umekwenda kurasa hamsini anajibu kila kurasa......labda kama wanalipwa na JF.

Mbona na wewe hatuchekani. Daily upo hapa kijiweni kupiga story.
Ahaaa haaa haaa.
dogo,huwezi dhibiti kila mtu,,, kujaribu ivyo ni mithili ya kufukuzana na bata bukini wa msitu. tatizo la Magufuli ni kuwa anafikiria kama wewe,,,,yaani kwa kiingereza micro managing peopleInategemea na blog. Zingine zinalipa zenyewe maana zinatumika kutangaza biashara mbalimbali.
Pia ni muhimu kudhibiti KILA mtu kujifanya mwanahabari mpaka taaluma inakosa maana.
Pia ni chanzo cha mapato ya serikali.
Watu na stress zao hao wanakesha humu. Kamwe hutawaona wakichungulia na kupotea. Wapo hapa fulltime! Acha mswaki wanavunda kwa kutooga. $900 labda wachinjwe nyama ziuzwe reja reja.Hawa wengi na makajamba tu wamefulia huja kutolea stress huku, sasa uwaagize walipe $900 si ndio utakua umewamaliza. Utakuta mtu anakesha humu hata unashindwa lini hupata fursa ya kupiga meno mswaki, atajibu uzi kwa uzi yaani unakuta uzi umekwenda kurasa hamsini anajibu kila kurasa......labda kama wanalipwa na JF.