Tanzania bora ipo sasa

Tanzania bora ipo sasa

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Hivi majuzi nilikutana na mtu mmoja a kaniambia anaingojea Tanzania Bora
Moyo wangu ukasikitika Sana kusikia hiyo kauli. Tanzania Bora IPO sasa Tanzania iliyojaa Amani furaha na utulivu. Tanzania yenye Barabara na iliyojaa shule.vyuo hospital na ulinzi kwa kila mtu Tanzania Bora IPO sasa
 
Wewe ni BUMUNDA 🤔🤔🤔 Watu wanatekwa/wanauwawa , serikali inashindwa kukamata wauaji?? wewe unaongea maneno ya kwenye khanga???
Ukiitwa BOYA utakasrika?? Nakuuliza wewe BOYA!!!
 
Screenshot_2024-10-07-22-55-28-72.png
 
Tanzania yetu ni Bora sikuzote na ndiyo maana Mambo yakienda tofauti wananchi tunapaza sauti....hii si Gaza
 
Hakuna tanzania bora, labda ile ya kabla ya vita ya kagera, lakini baada ya hapo hakunaga tanzania bora kuna BORA TANZANIA
 
Back
Top Bottom