situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Wewe ni BUMUNDA π€π€π€ Watu wanatekwa/wanauwawa , serikali inashindwa kukamata wauaji?? wewe unaongea maneno ya kwenye khanga???Hivi majuzi nilikutana na mtu mmoja a kaniambia anaingojea Tanzania Bora
Moyo wangu ukasikitika Sana kusikia hiyo kauli. Tanzania Bora IPO sasa Tanzania iliyojaa Amani furaha na utulivu. Tanzania yenye Barabara na iliyojaa shule.vyuo hospital na ulinzi kwa kila mtu Tanzania Bora IPO sasa
Huyo ni boya namba Moja tz!Wewe ni BUMUNDA π€π€π€ Watu wanatekwa/wanauwawa , serikali inashindwa kukamata wauaji?? wewe unaongea maneno ya kwenye khanga???
Ukiitwa BOYA utakasrika?? Nakuuliza wewe BOYA!!!
Kama unaona mimi ni boya nenda nchi za jirani uone kama hutaishi kwenye makambi ya wakimbiziHuyo ni boya namba Moja tz!