Tanzania-born architect to design National Museum of African American History

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335

The Durham News | Dream team
 
All the great tanzanians have run away from this misery, stupidity, incompetence, corruption etecetera. God bless them where ever they are and let them shine and show that not all of us a as we look.
 
All the great tanzanians have run away from this misery, stupidity, incompetence, corruption etecetera. God bless them where ever they are and let them shine and show that not all of us a as we look.

Si mtanzania. Baba yake ni mGhana aliyekuwa posted Dar es Salaam mara baada ya uhuru wetu. David Adjaye anatambua kuwa roots zake ni Ghana na si Tanzania.

Amandla.........
 
bongo mwanasiasa ndio mwenye say, hata kama kuna kitu cha maana ambacho kinaitaji proffesional thought, ni mwanasiasa ndio atakaekiongelea hicho, kwa hiyo msomi wa kweli ambaye anataka kutumia elimu yake kwa faida ya watanzania wote katika nchi hii hana nafasi
 
Tanzanian are doing great things all over the world! even more than this!
 
Wahandisi, wasanifu wa majengo,madaktari, mipango miji na career nyinginezo nyingi ambazo Tanzania huwa inasomesha kwa kiwango kikubwa bila kuwa ma mikakati sahihi ya kuwatumia wanafanya vizuri sana nje ya Tanzania. Kwa mfano, walimu wawili Dr James Msekela, Dr. Kawambwa waliokuwa faculty ya engineering waliamua kujitosa kwenye siasa baada ya kuona hakuna la maana katika kufundisha.
Tuzinduke naona tumelala sana.Tunatengeneza wataalamu wanaosaidia sehemu nyingine kwetu kunaendelea kudoda kwasababu ya uongozi usio na vipaumbele.I cant see any development without good leaders.
 
Si mtanzania. Baba yake ni mGhana aliyekuwa posted Dar es Salaam mara baada ya uhuru wetu. David Adjaye anatambua kuwa roots zake ni Ghana na si Tanzania.

Amandla.........

Yes, he might not be Tanzanian but his style speaks of african culture, of which africa shares collectively. It is an interesting fusion, which not only publicize african art in architecture rather it reminds us main stream cultures are not static. Therefore, by doing something or not doing anything we participate in creating it. However, we become powerful actors if we influence and take the part of who we are into that culture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…