M Mukubwa Senior Member Joined Aug 20, 2007 Posts 132 Reaction score 22 Jul 27, 2009 #1 kwa mujibu wa habari hapa kenya kampuni ya bia ya africa mashariki itavunja mkataba wake wa makubaliano ya kibishara na kampuni ya bia Tanzania, hili linafanyika ili waweze kununua kampuni ya bia ya Serengeti. Source KTN news.
kwa mujibu wa habari hapa kenya kampuni ya bia ya africa mashariki itavunja mkataba wake wa makubaliano ya kibishara na kampuni ya bia Tanzania, hili linafanyika ili waweze kununua kampuni ya bia ya Serengeti. Source KTN news.
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,468 Reaction score 2,349 Jul 27, 2009 #2 Ni mambo ya biashara tu hayo..!
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Jul 27, 2009 #3 Hivi Serengeti nani sana anaimiliki?? Vipi bia ya Tusker tutapata?? Tusker Baridii Upo hapo?? Mzee Unaweza kufafanua??
Hivi Serengeti nani sana anaimiliki?? Vipi bia ya Tusker tutapata?? Tusker Baridii Upo hapo?? Mzee Unaweza kufafanua??
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,324 Reaction score 17,846 Jul 27, 2009 #4 Kibunango said: Ni mambo ya biashara tu hayo..! Click to expand... Mkuu Kibs naona wanagusa sehemu muhimu muhimu!
Kibunango said: Ni mambo ya biashara tu hayo..! Click to expand... Mkuu Kibs naona wanagusa sehemu muhimu muhimu!