Tanzania brews another storm with 5pc cargo tax

Give me the source from which that blog you brought here reported that news. Unafikiri sisi ni wajinga?
Hao wameripoti na wamesema hiyo ni ripoti ya WB 2018, nenda tafuta ripoti ya WB 2018 kuhusu "Kenya report on poverty 2018" ya World Bank utaikuta.
 
Wee matakolo kweli uzan wabongo wanashida kama nyie yaan mnajitutumua wakati mmejaa shida tu
 
Don't you feel ashambed saying this considering Kenya has way more paved roads than Tanzania despite being almost half Tanzania's side?
 
Hivyo ndivyo mnavyo jidanganga,

Siku mkipata akili muamke ooh nilisahau kwenye akili hapo kuwa mkoloni aliondokaga na akili zenu,

Kazi ni kueneza propaganda na upotoshaji mitandaoni yaani hampendi kuishi kwenye uhalisia.
Makasiriko ya nini bradhe.
 
Hao wameripoti na wamesema hiyo ni ripoti ya WB 2018, nenda tafuta ripoti ya WB 2018 kuhusu "Kenya report on poverty 2018" ya World Bank utaikuta.
The burden of proof lies with you bongolala, not me. You posted that article, not me so it's upon you to show the source of the article from where it was reported as you said before. Do not start a war that you can't handle or finish.

But since you want me to spoon feed you, below is World Bank report regarding poverty in Kenya in 2018:

This is what part of that report says:
  • Poverty incidence in Kenya is amongst the lowest in East Africa and is lower than the Sub-Saharan African regional average, according to the update
 
Nimesoma mwanzo mwisho lakini sikuona aliyeleeza kwa nini hili linafanyika. Kweli ni kuwa gari la Kenya kwa mfano. Linapoleta mzigo Tanzania kutoka nairobi kwenda dsm litakuwa linafanya usafirishaji mara mbili. Kenya export. Tanzania ni import kutoka namanga hadi dar. Sasa gari hilo litakuwa limepata mapato ndani ya Tanzania ambayo halitayalipia kodi yoyote. Lingebeba gari la tz kutoka namanga hadi dsm lingekata efd receipt na kulipa income tax.
Kutatua hilo wameweka kama single transaction tax. Lakini sema ni kubwa mno.
 
Makasiriko ya nini bradhe.
Sibishana na watu ambao mkoloni aliondokaga na akili zao.

 
Wewe ndio mjinga sasa, the thing jamaa anaongelea inatokea hadi Latin countries.
And u think u're soo smart mwenyewe, de irony
 
Wewe ndio mjinga sasa, the thing jamaa anaongelea inatokea hadi Latin countries.
And u think u're soo smart mwenyewe, de irony
Stop looking for excuses bongolalas. You don't know better than World Bank or IMF
 
Sasa kama mmeweka trade deal na Uk ni nini imekufanya utoe machungu humu?

Mnapeperuka mkienda mbele according to wewe, ni nini imekufanya utoe machungu humu?
Wana stress za madeni.China imewashika makalio hawapumui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…