tatizo sehem nipoyapeleka hakuna spea za yutong nataka yafanye kaz mozambique coz kule kuna matatizo ya usafiri kwa mfano toka nampula mpaka maputo hakuna mabus ya mojamoja kwa moja ambapo sometmz watu wanaenda wamesimama kwa almost 1800km pili cdhan kama yutong inaweza ikahimilinenda anzia scania au dtdobie watakupa muongozo wa ma bus!vipi mchina YUTONG is cheap
thanx mkuu lakini nimeangalia bei zao naona ziko juu sanamkuu zaman ilikua inakubalika kubuy chasis then ukaipeleka quality group wakakuundia bus,ila kwa sasa hairuhusiw,unatakia ununue chasis ya bus moja kwa moja,ni bora kununua marcopolo ya south africa kuliko kununua chasis then ukaja board hapa bongo.
Yusufali hawjengi mabasi ni malori tu. Kama walivyosema ni Q Goup, Dar Coach, na Simba Coach ( ya Azim Dewji).Kama unaoperate Mozambique ni bora uchukue haya ya Marcopolo au wayayotengeza S/afrika.Yusufali hawana website? Nimejaribu kucheck Quality group wanaonyesha majengo.
Thanx mkuu ntakutafuta. mnatumia chassis za aina gani?Nimeisoma hii habari kwa mvuto sana. Mimi ni wakala wa mabasi ya Zonda-chinese buses. Tunatengeneza mabasi ya aina yote. Ni ya viwango vya juu sana, na Zonda inatengeneza mabasi kutokana na mahitaji ya mteja. kwa mawasiliano zaidi, nipigie 0784419030
Je kuna mtu yoyote anaeweza kunisaidia kuhusu kampun yoyote iliyoko tanzania inayojihusisha na utengenezaji na uuzaj wa mabus makubwa kwa hapa tanzania. Nnataka nifanye tathmin either kuimport au kununua hapa kwa sabab naona naona mabus ya ktz nimazur sana kwa barabara zetu tofaut na ya nje
Dar Coach Builders ndio inayoongoza kwa sasa katika uundaji wa bodi za mabasi Tanzania. Mfano mmoja ni huu:
...Mkuu Bingwaman, Kwa 'Kifaa' kama hiki kweli jamaa wanaonekana wanajitahidi. Lakini sioni kama mabasi haya yanatamba sana huko Barabarani.
Je Wameanza karibuni huku kutengeneza bodi za Magari ama Bei zao ni Kabaambee??
Kwa Mfano 'Kifaa' kama hiki kinaweza Kikawa ni Shilingi Ngapi maana naona hata kwa shepu ya Nje tu Yu Tong hawaoni ndani lakini ndio wanapeta huko mabarabarani!