Tanzania,cameroon,mauritius,cape verde..tutapita?

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Posts
1,371
Reaction score
251
me hofu yangu ni kwa hao kina etoo tuu wacameroon..tukaze buti wa tz twaweza fika
 
Cameruuuuuun! Hatupiti- ranking ya Cameroon iko among the best 20 FIFA ranking duniani! Sisi ni tuko 100!

Tumekwisha! Tusibiri 2014!
 
mtaalamu sahau hiyo nindoto,,hata kuhusu ghana ukweli halisi
"MAXIMO"aliujua kabla,,mi ninachoomba watanzania wote hivi sasa tuchangie mambo yanayoendeleza jamii na kusaidia wenye shida,,zile pesa zilizotolewa wakiamini tutaenda ghana,,tungezituma kule russia kuokoa wale watoto yatima waliotengwa na serikali tungeokoa watoto wangapi na familia ngapi,,na wengine nauli wazazi waliuza viwanja vyao,,tusirudiea tena kosa tuanjua pesa ipo itumike kwa manufaa ya jamii
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Wazazi Cameroon yupo kwenye rank ya 20 sawa ila ninachopenda kuwambia Mechi za waafrica hazijali nani ni nani na nani yupo wapi. Mimi naamini ngoma dakika 180 kwa maana 90/90 na ninaimani tupita Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki JF.
 

You sound down and defeated already bro,in other words its like you are telling Tanzanians to quit even before the kick-off! This is a wrong mentality. Cameroonians hawatofautiani sana na Senegal kwa kiwango and we managed to scrap a draw against them, you never say never in football.Huduma za jamii zina bajeti yake toka serekalini ambayo haiingiliani kabisa na uendeshwaji wa timu ya taifa.
 

Siko kinyume n ukweli kwamba serikali inatakiwa kuwajibika na watanzania waliokwama russia lakini kwa kigezo ulichotumia kubonda uwezo wa Taifa stars kufanya vizuri sio sahihi au sio kizuri sababu kwa kigezo hicho tunaweza kukata tamaa kwenye maeneo mengi. kwenye elimu kwenyewe ni nchi nyingi zimetupiga bao.. tuko nyuma si mzaha sasa kama kigezo ni "rankings" basi hata kwenye Elimu tuachane nako.

Etoo na wenzake wetu tu... Go Maximo goooo
 
me kwa kivyangu sioni ubaya wa wao kuwa in the top 20 as long as tuliweza toa hata draw na senegal y not now?na wao wenyewe si walianzia huku huku?n besides michezo now imepewa motisha kubwa..pia hata tukikosa the top spot kuna nafasi za best 2nd teams nane kati ya 12 sasa kweli tushindwe wafunga hao cape verde na mauritius sijui na kutoa hata draw na cameroon kwetu?tujipage imani...kujikatisha tamaa before hata michuano kuanza ni tabia mbaya na isiyo ya kijasiri
 
cha msingi tu isitumike pesa mingi bila umuhimu wa saana!wapewe match za majaribio mingi tff wapate fweza za kurun timu na sio serikali ipay!wadhamini wajitokeze kwa wingi like hao serengeti waendelee ma vodacom hayo ili ile profit ambayo walikua wakubwa zao wapeleke makwao timu yetu ifaidi nayo kwa maendeleo yetu wenyewe as i think tukiperform vyema itasaidia nchi yetu kujulikna na who knows mayb timu mojawapo kuuubwa yaweza amua weka kambi tanzania jus before kwenda sauzi for the world cup!!
 
Camerun vs Tz,
Thanks for good posts from above!
Ni kweli tunaweza- hata Goliati mtoto alimtoa nishai Daudi- mbinu tu na ujarisi vinatakiwa!
 
yeah kama croatia wamewatoa nishai waingereza na fweza zao na mpira wao ndo sie tushindwe wajiminiiii??lini tutaanza kuwa positive???
 
Kwao droo, taifa wanapigwa!!

Hao wengine wote cha mtoto!

Kimahesabu Taifa stars tayari wa 12 points!!
 
Utaratibu ukoje? Kuna makundi mangapi Africa? Timu ngapi zita-qualify? Maswala kibao yuko wapi aliyeleta hii habari atuhabarishe?
 
Hakuna timu isiyofungika! Kikubwa ni maandalizi ya hali ya juu na wachezaji wenye kujituma na uchu wa kufanya maajabu katika ulimwengu wa soka. Hakuna kuchelewa, maandalizi yaanze mapema mno na kuwe na timu maalum ya wasimamizi wa timu hiyo katika maandalizi hayo ili kuhakikisha hakuna matatizo yoyote katika kambi hiyo.
 
Tanzania shouldn't have any probem to qualify for the third qualifying phase of world cup this time based on the group drawn. They need to score goals and avoid heavy defeat from Cameron.

 
yeah na katika hayo makundi kumi na mawili...timu za kwanza zitaqualify....then zitachaguliwa the best washindi wa pili katika makundi nane kati ya hayo kumi na mawili so on total zitapita timu 20 to the next round alafu zitapangwa in makundi ma5 ambapo ukiwin waenda sauzi africa 2010
 
sina uhakika ila navyodhania mie ni kuwa hizo timu 20zitazopita kwenye makundi ya mwanzo ndo zitaenda kwenye kombe la mataifa ya africa kama ya ghana mwakani lakini yenyewe yatakua 2010 mwanzoni nayo....jamani wanamichezo tujulisheni vyema...
 
na kama ni hivyo la msingi ni sie kubanana na hao vibonde wenzetu tuwachape kote kote angalau tuwe na uhakika wa pts 12 ka alivyosema jamaa aliyetangulia then ndo tujue ka kuna uwezekano wa draw na cameroon hata moja yaani tushindwe kupita as washindi wa pili bora kweli kati ya makundi 12??
 
Uwezekano wa kupita kama best-runner up upo mkubwa tu (kwenda raundi ya pili). Ila Stars wanaweza kuwashitukiza Cameroon pia. Unajua timu kubwa kama Nigeria au Cameroon wana mtindo wa kuwaacha masupastaa wao katika mechi wanazopuuzia. Sasa inatakiwa Stars wawe tayari. I can see a potential upset to Cameroon on atleast one game. Stars wakijitayarisha vizuri, na kujiamini, bila kuogopa egos za masupastaa....basi inawezekana. Imani inatakiwa.

Sasa wakiingia raundi ya pili, kawaida hiyo ni automatic ticket kwaajili ya African Cup of Nations (kama mtaalam alivyosema). So inabidi safari hii wajitayarishe haswa, maana wakikosa kuingia raundi ya pili.........tujue kunusa Africa Cup of Nations ni 2012.....sijui nani atakuja na kasi mpya ya mpira!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…