QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
Yako mambo mengi ya kimaendeleo ambayo hayashughulikiwi. Hivi punde wizara ya ardhi imetoa video inayoonesha mji wa kisasa wa Kigamboni. Abao inasemekana utajengwa kwa miaka 20 kwa awamu tatu. yaani awamu ya kwanza 2011-20; awamu ya pili 2021-2025 na awamu ya tatu na ya mwisho 2026 to 2030. Lakini cha kujiuliza ni kuwa hao watakaowekeza serikali itawalipa lini?
Mbona reli ya kati imeshindikana?
Barabara za ndani Dar kwenyewe zimwshindikana? Huduma za afya ndo usiseme; sasa hili litawezekanaje?
Jioneeni kupitia kiunganishi hiki
Mbona reli ya kati imeshindikana?
Barabara za ndani Dar kwenyewe zimwshindikana? Huduma za afya ndo usiseme; sasa hili litawezekanaje?
Jioneeni kupitia kiunganishi hiki
Last edited by a moderator: