Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hizi tuzo naona kama wanagaiana wenyewe ni kama wamepanga matoke yao huyu dada hajui kitu huyu esma na mama mawigi hakuna kazi wanafanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wajinga sana hao kweli mama mawigi kwa kitu gani anafanyaNina maumivu Gunners tumepigwa,nomaaa.
Wameambiwa mda sio wa pichaKwanini Dola na Hamis hawajapata picha mheshimiwa? 🤔
He!!!Nina maumivu Gunners tumepigwa,nomaaa.
Kwajinsi nisivyo mkubali sijafwatilia nimeingia jfBICHWA KOMWE amepata tuzo gani?
Vipi watu wako wa All stars comedy nao wamepata auHizi tuzo naona kama wanagaiana wenyewe ni kama wamepanga matoke yao huyu dada hajui kitu huyu esma na mama mawigi hakuna kazi wanafanya
View attachment 3245606
Kwani Mama mawigi na yeye yupo GunnersKabisa wajinga sana hao kweli mama mawigi kwa kitu gani anafanya
Ni cheka tuVipi watu wako wa All stars comedy nao wamepata au
NdioKwani Mama mawigi na yeye yupo Gunners
Aah bora ya haoNi cheka tu
Sasa mama mawig anachekesha nn au yule esma si anajiuza tu achekeshi anatangaza kalio tuAah bora ya hao
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!Sasa mama mawig anachekesha nn au yule esma si anajiuza tu achekeshi anatangaza kalio tu
Hao wamepata kwenye vipengele vipiSasa mama mawig anachekesha nn au yule esma si anajiuza tu achekeshi anatangaza kalio tu