Tanzania Commercial Bank sasa kuna pension/salary advance kwa kutumia TCB POPOTE MOBILE : Kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo hiyo?

Tanzania Commercial Bank sasa kuna pension/salary advance kwa kutumia TCB POPOTE MOBILE : Kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo hiyo?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Sasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka.

Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi!

Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna background applications zinakuwa zinatumia bundle wakati umefungua simu. Wizi tu hakuna lolote!

Technology inawaruhusu kufanya lolote katika simu yako bila mtumiaji kuwa na uwezo wakuwazuia!
 
Sasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka. Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi!

Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna background applications zinakuwa zinatumia bundle wakati umefungua simu. Wizi tu hakuna lolote! Technology inawaruhusu kufanya lolote katika simu yako bila mtumiaji kuwa na uwezo wakuwazuia!
makampuni ya simu hayatuibii kwa hilo nitawatetea ni matumizi yetu ya internet ukijumlisha na kupunguzwa kwa bundle
 
makampuni ya simu hayatuibii kwa hilo nitawatetea ni matumizi yetu ya internet ukijumlisha na kupunguzwa kwa bundle
No, we are making a comparison. Zamani ukiweka GB say 2, utamaliza wiki unacheza tu bila shida. Sasa it is hardly two days or even a single day kwa matumizi yale yale. Nilikuwa naweka MB 500 namaliza wiki nablouse JF, sasa hata siku haiishi! Nina comparison nzuri... matumiz yangu ya desk top ni yale yale.
 
Nilijua tu kuna siku mtakutana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama natukana nawe usimkawize! ndiyo huwe principle yangu! It was a matter of kujibu hoja na si kutukana or you skip it if not interested and not abusive language!
 
Back
Top Bottom