makampuni ya simu hayatuibii kwa hilo nitawatetea ni matumizi yetu ya internet ukijumlisha na kupunguzwa kwa bundleSasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka. Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi!
Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna background applications zinakuwa zinatumia bundle wakati umefungua simu. Wizi tu hakuna lolote! Technology inawaruhusu kufanya lolote katika simu yako bila mtumiaji kuwa na uwezo wakuwazuia!
No, we are making a comparison. Zamani ukiweka GB say 2, utamaliza wiki unacheza tu bila shida. Sasa it is hardly two days or even a single day kwa matumizi yale yale. Nilikuwa naweka MB 500 namaliza wiki nablouse JF, sasa hata siku haiishi! Nina comparison nzuri... matumiz yangu ya desk top ni yale yale.makampuni ya simu hayatuibii kwa hilo nitawatetea ni matumizi yetu ya internet ukijumlisha na kupunguzwa kwa bundle
mwalimu mama yako mpuuzi mkubwa weweMwalimu acha kukopakopa dah
Nilijua tu kuna siku mtakutana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwalimu mama yako mpuuzi mkubwa wewe
Kama natukana nawe usimkawize! ndiyo huwe principle yangu! It was a matter of kujibu hoja na si kutukana or you skip it if not interested and not abusive language!Nilijua tu kuna siku mtakutana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]