Tanzania Companies top listed

Teh hata nyie top 10 hampooo...mnanusa makalio ya South Africa na nyie....Top 100 mnazo tatu and we have two...Sasa utajipaje ujayanti kama wa Afrika Kusini huko SADC?
Hata hizo 3 ziko juu ya hizo 2 zenu. Nyinyi ni kuvuta mkia tu ama Kuna vile Tz 3 ni ndogo kuliko 2?
 
Top company yenye market cap ya $119B is bigger than KE GDP....the sec company with market cap of $62B is equals to TZ GDP Na zote ni Kampuni za South AFRICA !

KE ni giant wa upupu hamna pesa

Sent using Jamii Forums mobile app

Prosus na Naspers ni kitu kimoja. Pesa yao mingi haitoki South Africa direct, na pia ushuru wao mingi hauendi South Africa.

Value yao mingi inatoka kwa Tencent, kampuni ya China ambayo walinunua shares ikiwa ndogo. Hii ndio kampuni inaown WeChat.

Safaricom ni kampuni ya Kenya ambayo haina operations nchi zingine.
 
Kuwa top Africa lazima kampuni iwe kubwa ajabu. Safaricom ni kubwa sana ndio maana ipo top ten Africa.
Barrick ikija hapo those safirigoon and bla bla will look rubbish, sio companies zote kubwa za Tanzania zipo hapo

Tanzania inayo uwekezaji mpya wa natural gas worth of 30 USD billion, tumenyamaza
 
Barrick ikija hapo those safirigoon and bla bla will look rubbish, sio companies zote kubwa za Tanzania zipo hapo

Tanzania inayo uwekezaji mpya wa natural gas worth of 30 USD billion, tumenyamaza

Acacia Barrick Net income 2018 - $58.9 million
Hio ikashindane na Family bank.

Barrick unayoongea kuhusu ni kampuni ya Canada.
 
Top company yenye market cap ya $119B is bigger than KE GDP....the sec company with market cap of $62B is equals to TZ GDP Na zote ni Kampuni za South AFRICA !

KE ni giant wa upupu hamna pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tht means hata SA nao kuna mashaka..tukizingatia hilo..cause hio company mcap yake ni 1/3 yaSA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zenu ni private na huwezi mlazimisha Mo kulist kampuni zake. Kama hataki unamuacha tu maana ni haki yake. Lakini Safaricom ilikuwa inamilikiwa na serikali ya Kenya kwa asilimia kubwa hapo awali. Serikali ya Kenya ndio iliamua kuuza shares zake kwa stock market. Serikali ya Kenya bado inamiliki asilimia ishirini ya Safaricom kama sijakosea.
 
South Africa pekee yake ina kampuni 100 katika list ya kampuni 250 hivi hii si aibu mbaya sana kwa nchi zingine kama Tanzania kua na kampuni nne tu

Sent using Jamii Forums mobile app
SA investors wengi ni wanje ya nchi thts why ni kubwa ..sasa GDP ya SA si haijafikia 390uSD billion

Hao investors most likely prof zinaenda kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kulikua na some rumours sjui niseme news: they want to dive ethiopia yawezekana theya re expanding, but remember they hold all the rights za mpesa kuanzia mpesa ya TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…