Tanzania Crashes G-8 Summit

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Hii inawezekana kwa Kikwete
kwani mnashangaa mnadhani matokeo ya kujikomba komba kila siku ni yapi ndio haya sasa

BabaH Kikwete anakuwakilisha wewe, kama kapata aibu ni katika jitihada za kuhakikisha kuwa maisha ya watanzania yanakuwa a little better.Hakuna kujikomba hapo.
 
Jitihada za kuhakikisha kuwa maisha ya watanzania yanakuwa a little better.

Hivi tukiwabana Mafisadi wakaacha kutuibia kweli maisha ya mtanzania hayawezi kuwa mazuri hata zaidi ya baadhi ya nchi zilizoendelea? Tunachokosa nini mpaka tuanze kuaibika?

Inabidi tutafute njia za kuachana na hawa mabwana na angalau tusiwategemee kwa kila kitu. Hii inawezekana jokes inawezekana ni kwa sababu Jk ajampa support Bush katika kutaka kurusha makombora Zimbabwe.

Yeye alitaka amalizie kabisa kabla ya kutoka madarakani.
 

Jmushi1 na lugha zake!!!
 
Gadafi basi angesharusha risasi ,ikawa mshike mshike.
 
Fanya uamuzi wa kuamini hii habari baada ya kutembelea hii blog:carbolicsmokeblog.blogspot.com.
 
Binafsi baada ya kuipitia hiyo blog I have serious doubt kama hii habari ni ya kuaminika hata kwa asilimia moja!!
 
...ni blog ya mzaha mzaha kwa hiyo ni mizaha ya wazungu, ila Mtanzania unapokuta habari kama hii inayomhusu rais inakuwa sio mzaha tena.
 
ofcourse it sound more like a joke, ila ambayo iko karibu mno na ukweli!
 

Very embarassing for a president to face such an Incident. Ndio maana Nyerere alikuwa na misimamo yake isiyotetereka.Lakini hii ya kujipendekeza kila mahala haya ndio matatizo yake.Mbona mwenzie mbeki hatusikii yalompata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…