Tanzania Cuts GDP Growth Forecast, Hikes Deficit

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165

Tanzania Cuts GDP Growth Forecast, Hikes Deficit​

Fumbuka Ng'Wanakilala, Bloomberg News
Sep 17, 2021

(Bloomberg) -- Tanzania has slashed its growth forecast for this year and raised its projected budget deficit, as the East African nation tackles headwinds from Covid-19-induced economic slowdown.

The economy will expand by 4% this year, down from a projection of 5.6% in June, the government said in a letter of intent to the International Monetary Fund (IMF).

The letter dated Aug. 20 and jointly signed by finance minister Mwigulu Nchemba and Bank of Tanzania Governor Florens Luoga was released by the IMF on September 17.

The government said the country’s fiscal deficit was expected to widen to 3.9% of gross domestic product (GDP) in 2021-22, causing a fiscal financing gap of 0.8% of GDP. The finance minister’s previous forecast was for a fiscal deficit of 1.8% of GDP.

The government plans to present to parliament “a supplementary budget in February 2022 after the mid-year review to properly account for all necessary pandemic spending.”

“Against this background we are experiencing an urgent balance of payments financing need of $1.1 billion (1.5% of GDP) in 2021-22,” it said.

The Washington-based lender last month approved nearly $600 million in emergency lending for Tanzania’s health system and economic-recovery efforts as the nation battles the coronavirus pandemic.

In it’s letter to the IMF, the Tanzanian government has pledged to resume publishing pandemic data regularly and transparently by the end of this month. It stopped publishing the data in April 2020 during the previous administration’s Covid-19 denialism.

©2021 Bloomberg L.P.
 
Barua ya kuombea mkopo hiyo,sasa useme uchumi utakua vizuri utapata vipi mkopo wa covid? Uta justify vipi kwamba covid 19 imekuathiri? Lazima ushushe growth rate..mbinu za medani..

Hata hivyo baadhi ya sababu kama kadirio la pesa ya miamala kutofikiwa ni sahihi.
 
Umatola tunauweza sana.

Halafu kuna wakati tunajisahau na kujipiga tuvifua tulikovimbishwa na 'steroids' tukidhani ndio tumekuwa na misuri ya uhakika.
Hakuna cha umatola kwenye njaa mkuu..

Siwezi bisha Sana but trend ya uchumi sio mbaya that much kwa sababu miradi ya zamani inaendelea na Mipya inafanyika..

Nashaka hii ni mbinu ya kutafuta mkopo maana hata investors wameongezeka mwaka huu kuliko miaka iliyopita..
 
Unabuni mbinu ya kuomba ndio umatola wenyewe huo
 
Hakuna cha umatola kwenye njaa mkuu..

Siwezi bisha Sana but trend ya uchumi sio mbaya that much kwa sababu miradi ya zamani inaendelea na Mipya inafanyika..

Nashaka hii ni mbinu ya kutafuta mkopo maana hata investors wameongezeka mwaka huu kuliko miaka iliyopita..
Mikopo ya namna hii ni kama ya kulazimishwa vile na hao wakubwa.

Tatizo la umatola wetu ni kutotumia akili zetu vizuri.

Ukisoma hiyo karatasi tunayoiwasilisha kwao utadhani sisi ni watoto wenye shida wanaomlilia mzazi awasaidie, kumbe sisi ni taifa ambalo tunaweza kufanya makubwa zaidi ya hivyo vihela tunavyoombeleza kwa kujidhalilisha.

Bure kabisa akili zetu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Ndivyo ilivyo kwani hatuna shida? Lete suluhisho sio kulalama tuu
 
Barua ya kuombea mkopo hiyo,sasa useme uchumi utakua vizuri utapata vipi mkopo wa covid? Uta justify vipi kwamba covid 19 imekuathiri? Lazima ushushe growth rate..mbinu za medani..

Hata hivyo baadhi ya sababu kama kadirio la pesa ya miamala kutofikiwa ni sahihi.
Hiyo inafanywa na wengi.
Discount your growth expectations and highlight your nagging costs and deficit.
Eventually you overcome the odds!
 
UOZO huo Mkuu ndiyo unaiangamiza nchi yetu kwa sera za kipuuzi na MUFILISI na hawa maccm na hii Serikali haramu kutaka kuishi maisha ya kutanua above and beyond our means.

Unataka suluhisho. Ondoa uozo uliopo sasa serikalini na huko ndani ya CCM.

Hilo ndilo suluhisho.
 
Mikopo ya namna hii ni kama ya kulazimishwa vile na hao wakubwa.

Tatizo la umatola wetu ni kutotumia akili zetu vizuri.

Ukisoma hiyo karatasi tunayoiwasilisha kwao utadhani sisi ni watoto wenye shida wanaomlilia mzazi awasaidie, kumbe sisi ni taifa ambalo tunaweza kufanya makubwa zaidi ya hivyo vihela tunavyoombeleza kwa kujidhalilisha.

Bure kabisa akili zetu.
Majibu ya tatizo hili ameyatoa Jenerali Ulimwengu leo, "CCM ina wanachama milioni 8, lakini wanaoruhusiwi kufikiri ni 3 tu". Na bahati mbaya ni kuwa hao watatu wanaoruhusiwa kufikiri, mara nyingi hawana fikra sahihi.
 
Ninakubaliana na hayo aliyosema Ulimwengu kama ulivyoyawasilisha hapa.
 
Wapo madarakani kwa miaka 60 sasa. Nchi ina rasilimali zenye utajiri mkubwa sana, nchi yetu Ina rutuba kubwa sana, vyanzo vingi vya maji na tumepokea mikopo na misaada ya matrilions lakini hatuoni ahueni kwenye lolote lile. Kila kitu cheti ni cha hovyo hovyo na Watanzania wengi sana wanaishi maisha ya ufukara mkubwa sana na maccm na sera zao MUFILISI sioni ahueni yoyote ile zaidi ya ufukara kuendelea kuongezeka.

Back
Top Bottom