Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Apr 23, 2008 #1 Jamani mbona silioni Tanzania Daima la Leo kwenye mtandao? Kulikuwa na makala nyeti sana... tatizo la kiufundi au niaje maana nimesikia kuna baadhi ya watu wamepita mitaa mbalimbali Dar na kununua kwa mafungu.... what is going on?
Jamani mbona silioni Tanzania Daima la Leo kwenye mtandao? Kulikuwa na makala nyeti sana... tatizo la kiufundi au niaje maana nimesikia kuna baadhi ya watu wamepita mitaa mbalimbali Dar na kununua kwa mafungu.... what is going on?
I ishengoma Member Joined Nov 8, 2007 Posts 55 Reaction score 0 Apr 23, 2008 #2 hata kama wamenunua kwa mafungu ina maana wamefanya hivyo hata kwenye net? hata mimi nimekuwa ninalitafuta kwenye web bila mafanikio.
hata kama wamenunua kwa mafungu ina maana wamefanya hivyo hata kwenye net? hata mimi nimekuwa ninalitafuta kwenye web bila mafanikio.
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Apr 23, 2008 Thread starter #3 Hii inanifanya nitie shaka kama Raia Mwema na lenyewe litakuwa hewani.
MwanaHaki R I P Joined Oct 17, 2006 Posts 2,401 Reaction score 707 Apr 23, 2008 #4 Mkuu, makala gani hiyo unayozungumzia ambayo imezuiwa kwenye Net? Nipigie simu au niandikie email... (mwanahaki@jamboforums.com)
Mkuu, makala gani hiyo unayozungumzia ambayo imezuiwa kwenye Net? Nipigie simu au niandikie email... (mwanahaki@jamboforums.com)
mwanatanu JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 851 Reaction score 127 Apr 23, 2008 #5 MwanaHaki said: Mkuu, makala gani hiyo unayozungumzia ambayo imezuiwa kwenye Net? Nipigie simu au niandikie email... (mwanahaki@jamboforums.com) Click to expand... Toleo la leo 23/04 liloko mtandaoni ni la jana 22/04...kama unalo pls tu postie basi
MwanaHaki said: Mkuu, makala gani hiyo unayozungumzia ambayo imezuiwa kwenye Net? Nipigie simu au niandikie email... (mwanahaki@jamboforums.com) Click to expand... Toleo la leo 23/04 liloko mtandaoni ni la jana 22/04...kama unalo pls tu postie basi
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,517 Reaction score 4,477 Apr 23, 2008 #6 I miss Tanzania Daima, kunanini jamani? unajua gazeti hili ni kali sana siku za Jumatano na Jumapili huenda wameliwekea ngumu nini?
I miss Tanzania Daima, kunanini jamani? unajua gazeti hili ni kali sana siku za Jumatano na Jumapili huenda wameliwekea ngumu nini?
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Apr 23, 2008 #7 niliamua kuwasiliana na wenyewe, wamesema baada ya nusu saa litakuwa hewani, kuna problem kidogo ya kiufundi
niliamua kuwasiliana na wenyewe, wamesema baada ya nusu saa litakuwa hewani, kuna problem kidogo ya kiufundi
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Apr 23, 2008 Thread starter #8 asante mpita njia.. haya matatizo ya kiufundi ambayo huwa yanapenda kujitokeza Jumatano ni matatizo ambayo yangepaswa kutokea Jumamosi hivi...
asante mpita njia.. haya matatizo ya kiufundi ambayo huwa yanapenda kujitokeza Jumatano ni matatizo ambayo yangepaswa kutokea Jumamosi hivi...
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Apr 23, 2008 #9 umesomeka mkjj, ujumbe utafika