R Rugemeleza JF-Expert Member Joined Oct 26, 2009 Posts 668 Reaction score 136 Oct 18, 2010 #1 Kwa muda wa siku mbili hawa jamaa wa Tanzania Daima hawaleoshi gazeti katika mtandao. Je kuna mtu anaweza kufuatilia kuona kasoro kubwa inarekebishwa ili tuweze kupata habari zao kuhusu uchaguzi.
Kwa muda wa siku mbili hawa jamaa wa Tanzania Daima hawaleoshi gazeti katika mtandao. Je kuna mtu anaweza kufuatilia kuona kasoro kubwa inarekebishwa ili tuweze kupata habari zao kuhusu uchaguzi.
M mbea Member Joined Oct 12, 2010 Posts 97 Reaction score 1 Oct 18, 2010 #2 Wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaa,unafikiri kuwa na kijalida cha chama mchezo!
Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 308 Oct 18, 2010 #3 mbea said: Wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaa,unafikiri kuwa na kijalida cha chama mchezo! Click to expand... Unaumwa
mbea said: Wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaa,unafikiri kuwa na kijalida cha chama mchezo! Click to expand... Unaumwa