didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
tutalilipa wote mkuuDeni la Samia.
Ni kweli,tutalilipa wote mkuu
Deni litajwe kwa fedha za kigeni ---Hapo dollar ipo 2400 ikifika 2800 itakuwa trilion 130
NimekuelewaNi kweli,
Deni la Samia,
Ametukopea bila ridhaa yetu,
Yeye halipi,
Tunalipa sie.
Hivi huwa hawakubaliani according to the rates za hio sku den linapokopwa yaan fixed au huwa wanatumia floating rates?Hapo dollar ipo 2400 ikifika 2800 itakuwa trilion 130
Kila kitu ni mama kafanyatutalilipa wote mkuu
Ka Zanzibar kanalipa sh ngapi hapo😩tutalilipa wote mkuu
Umekopa kwa dollar utalipa kwa dollar,unapochelewa ndivyo deni linaendelea flactuateHivi huwa hawakubaliani according to the rates za hio sku den linapokopwa yaan fixed au huwa wanatumia floating rates?
imagine anapewa mitano mengine🤣🤣🤣Wakati anachukua Nchi kuongoza kama Rais wa awamu ya Sita baada ya Kifo cha JPM, deni lilikuwa Trilioni 62.
Miaka yake minne, deni limefika Trilioni 116
Ni ongezeko la Trilioni 54 ndani ya miaka 4
Ukifanya Hesabu za kutoa na Kujumlisha, ni wastani wa kukopa shilingi Trilioni 13.5 Kila Mwaka 🙌
Anyways, Mchumi wetu, Daktari Mwigulu Nchema hakawii kusema deni ni himilivu, kwahiyo angependa tuendelee kukopa 😜
Hadi April 2021 deni la taifa lilikuwa trilioni 60.9 kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Mwigulu akinukuliwa na Ayo Media.Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia 85.4. Malipo ya huduma ya deni la nje mwezi Juni yalifikia dola milioni 234.4, yakihusisha marejesho ya mkopo na riba.
Kwa upande wa ndani, deni lilikuwa trilioni 35.5, likiongezeka kwa asilimia 0.9 kutokana na hati mpya za dhamana. Uchambuzi wa IMF unaonyesha deni la umma ni asilimia 35 ya Pato la Taifa, chini ya kiwango cha hatari, ingawa kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola kumeongeza mashaka juu ya mzigo wa deni.
Wachambuzi wanasema ingawa deni ni kubwa, bado linaweza kudhibitiwa iwapo mazingira ya sasa ya kiuchumi yataendelea.
Saidia fundi
View attachment 3452298
Bahati mbaya utalilipa tu ndo shida hapo.Hilo deni la viongozi mimi simo watajua wenyewe