Tanzania: Deni la Taifa lafikia trilion 116

Umekopa kwa dollar utalipa kwa dollar,unapochelewa ndivyo deni linaendelea flactuate
Duh bas tutakua sana watumwa wa hili deni provided shilingi yetu inaendelea kufanya vbaya(kuporomoka) dhidi ya dola
 
Achana na kauli ya wachambuzi(Madalali) kudai eti linadhibitika, siyo kweli maana hatuoni mpango wowote wa deni kulipika.Kilicho dhahiri ni kuwa deni linaongezeka kwa sababu tunaendelea kukopa kwa matumizi ya kawaida.
Zingatia walichosema IMF kwamba mzigo unazi kutuelemea.Tanganyika inabeba mzigo wa Mafisadi Papa na sasa ndiyo washauri wa SSH.
 
Zitto Kabwe yule aliekuwa anapiga makelele enzi Magu yupo?

Mbona hili hasemi au kwa vile salamaleko mwenzie?
 
Deni kubwaaa au ndio maana serikali inalipa mishara kwa awamu maana hadi Leo baadhi ya wafanyakazi hawajapata mshahara!
 
Zitto Kabwe yule aliekuwa anapiga makelele enzi Magu yupo?

Mbona hili hasemi au kwa vile salamaleko mwenzie?
Zitto hawezi kusema hili, tayari mrija wake wa kula Keki ya Taifa haujaguswa

Kingine, aliyepo ni ndugu yake katika Imani
 
Mbona ghafla bini vuu..
October hakikisha unatiki, sijui utatiki nini we tiki tu itajulikana hukohuko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…