Tanzania deports east African migrants

Many of the aliens are married to Tanzanians. They have been living in Tz since 1972. Wazazi wa watoto wenu hao, lazima hapo kuna Babu na Bibi za watoto wa 'kitz'. Kweli Tz ndo kichwa cha mwendaazimu.
Sheria ya kuishi nchini ipo wazi kabisa, haijasema kwamba mtu akiishi miaka mingi basi automatically anakuwa raia bila kuomba uraia, wala haisemi akikaa muda mrefu asiguswe, Kenya kuna wasomali walioishi miaka mingi sana na wanabiashara nyingi tu, mwaka juzi mliwakamata na kuwafungia Kasarani kinyama sana na mkawarudisha, kwani Somalia sio jirani wenu?
 
Kwani imekuuma kwamba babu yako mrundi karudishwa 'kwao'? Punguza mapepe.
 
wewe wazimu eti gikomba ichomwe sababu ya wabongo
Achana nao akili zao hutazielewa. Watz wengi huwa wanajaribu ku'justify' upuuzi unaofanywa na serikali yao, kwa kusema kuw watz wenzao huwa wanadhulumiwa huku Kenya. Cha ajabu mtz yeyote ambaye amefika Kenya anajua uhalisia wa mambo. Wala time ya majungu ya kitoto na kulazimisha mambo madogo madogo yasiyoeleweka huwa hatuna. Kenya ingekuwa hivo tungekuwa tupo nyuma sana kimaendeleo na kifikra. Hapo ndipo napomkubali rais Uhuru Kenyatta, acha tu'concentrate' on the bigger picture kama wakenya. Hayo maswala madogo madogo tuwaachie vijana wadogo.
 
Wale wasomali mliowakusanya pale kasarani halikuwa jambo dogo, au wasomali sio binadamu?, ukweli ni kwamba mnaona Somalia sio nchi mnayoweza kwenda kuishi ndiyo sababu hamuwathamini, ila huku mnapanyemelea kwahiyo hao watanzania huko hamuwasumbui ili na huku wakenya tuwaacha waingie wapendavyo.
 
Tuliwakusanya pale Kasarani afu wakarudishwa Somali? Hao ni wakenya bana. We unadhani wasomali wote ni raia wa nchi ya Somalia? Wasomali wote wanaorudi Somalia wanafanya hivo kwa hiari yao pale Daadab Refugee Camp. Chini ya mradi ulosimamiwa na UNHCR na mashirika mengine. Hakuna msomali amerudishwa Somalia bila kupenda kwake. Kenya imewasaidia sana wananchi wa Somalia lakini hutatuona kamwe tukijipiga vifua. Usiwe na mazoea ya kukariri tu vitu kama kwenye madrassa.
 
Acha porojo wewe, mliwakusnya kinyama sana toka majumbani mwao, mkawaibia pesa zao na wanawake mkawabaka, wasikilize kwenye you tube wanavyolalamika, wengine wamezaliwa na kusoma hapo Kenya na wanafanya biashara, ila kwa vitendo mnavyowafanyia, wanasema bora warudi Somalia wakafie huko kuliko kuondelea kunyanyasika hapo kwenu
 
Ulisikia kwa VijiweniFM au? Leta ushahidi bana, kwamba kuna msomali Kenya amekuwa repartriated kwenda Somalia bila ya idhini yake ama kando na ule mradi wa UNHCR. Shida nyie makada wa CCM huwa mnapenda sana kujifananisha na Kenya. Watu wameishi huko tangu 1972 sasa hivi ndo mnagutuka. Mmekuwa wapi tangia enzi hizo? Serikali ya wauza sura, na hapa kazi tu ya maigizo.
 

mnashindwa nini kuwafukuza,wafukuzeni na ninyi.trump mwenyewe anatufukuza na kutuharibia ajira zetu hapa 7-11.naunga mkono tz kuwaswaga watu wasiojulikana
 
mnashindwa nini kuwafukuza,wafukuzeni na ninyi.trump mwenyewe anatufukuza na kutuharibia ajira zetu hapa 7-11.naunga mkono tz kuwaswaga watu wasiojulikana

Hatuwezi kuwafukuza maana hatuendeshi nchi kwa majungu na chuki na visasi, hawa Watanzania ni watu weusi kama sisi na wajasiria mali, wapige biashara zao tu kwenye dunia hii ya Mungu, mwisho wa siku tutakufa sote na kuiacha tulivyoikuta.
 
siamini kama kuna watanzania wanaishi Kenya. what I know most of tanzanian they live within Sadc country due the good relationship
 
Nimekuambia wasikilize wasomali wenyewe katika you tube wanavyolalamika, unataka ushahidi gani zaidi ya huo?. Hapa kazi tu.
 
Hatuwezi kuwafukuza maana hatuendeshi nchi kwa majungu na chuki na visasi, hawa Watanzania ni watu weusi kama sisi na wajasiria mali, wapige biashara zao tu kwenye dunia hii ya Mungu, mwisho wa siku tutakufa sote na kuiacha tulivyoikuta.
Acha uwongo,tatizo nyinyi, TZ ikifanya jambo lolote kwa masilahi yake,mnasema mnalengwa nyinyi. Makala imetaja watu nchi za Nigeria,Ethiopia na Somalia, lakini,kichwa habari kinasema ni watu a Afrika mashariki tu,huoni kwamba ni inferiority complex? Kenya pia mnatekeleza hizi taratibu na hatulalamiki kama nyinyi. Hii unaisemeaje? Storm as Kenya deports Tanzanian traders
 
Tunawahitaji zaidi wakenya kuliko mataifa mengine usisahau wakenya wamewekeza sana hapa nchini na kutengeneza ajira nyingi kwa watanzania
tunawahitaji na nani? wanahitaji kulipa living permit end of discussion!
 
I wonder why Tanzania kila siku mbona nchi zingine kama Uganda hatuyasikii haya, jamani watu kuanzia 1972 saiv ndio wanafukuzwa manake wameonekana saiv au, impact ya hizi vitu itakuja kuonekana baadae ukimuona Kobe kainama ujue anatunga sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…