hii nchi inahitaji marekebisho makubwa sana ktk siasa ili tuendelee!!!
Waulize wafanya kazi wa Geita Gold mine wakati wa enzi za CEO Harry Michael.Watakuambia alisema nini kuhusu siasa za Tz!Hivi mnajua mgodi wa Barrick North mara tokea mwaka 2001 hadi oct 2006 walikuwa wamezalisha 1million Ounces za dhahabu ambazo kwa hesabu ya haraka ni sawa na USD 480million au Tshs 570Billion!!! Je ktk uzalishaji huu sisi watanzania tumepata faida gani!! zaidi ya kubaki na mashimo (pits) na uharibifu wa mazingira????
Hakika kwa mtindo huu hatuwezi kuendelea hata kidogo... hii nchi inahitaji marekebisho makubwa sana ktk siasa ili tuendelee!!!
Waulize wafanya kazi wa Geita Gold mine wakati wa enzi za CEO Harry Michael.Watakuambia alisema nini kuhusu siasa za Tz! Ni bahati walau tunapata hiyo 1.9% ilikuwa tuambulie mashimo tu
Rev,
Kuna wengine wamesema 1.9% it is ok......................labda pengine siijui nchi yangu vizuri........lakini hiyo figure mmhhh...............yaani kweli tumekubali kupata 1.9% toka ktk madini yetu!!!
Tatizo hapa, mpaka sasa hakuna aliyesema 1.9% ni kiasi gani!!! statistics zozote usipokuwa makini nazo lazima utafsiri kila kitu kama unavyotaka....
Let be serious,,,, Uchumi wa Amerika haukui zaidi ya 3%, wa Tanzania unakuwa kwa 7%, wa Angola 20%,,, hauwezi kusema kwa kutumia hizo statistics hapo ati Tanzania au Angola ina uchumi Mkubwa...
mfano mwingine,,, Uchumi wa Kenya ukikua kwa 5%,,, ni mkubwa kuliko wa Tanzania ukikua kwa 8%....
So kwa sasa mnajadili hewa... poleni...
mfano wa mwisho:
A. 1.9% ya 1,000 = 19
B. 1.9% ya 1,000,000,000 = 19,000,000
Au ndio tatizo/kensa ya hisabati wandugu inaendelea kutumaliza?!!!!

Bado ni kiasi kidogo mno. Ukitilia maanani sasa hivi bei ya dhahabu ni $824 wakati katika mkataba bei inaonyesha ni $238. TUNAIBIWA MCHANA MCHANA!
Huhitaji rocket sayansi kujua kwamba kila shillingi mia moja wewe unaambulia shillingi moja na senti tisini.
Au kwa maneno mengine kila dola mia moja unaambulia dollar moja na senti tisini. kweli kama mtu haelewi hili aeleweshwe vipi?
Dua, Babu anataka Kusema,
Rais alisema madini yanachangia 1.9% ya Uchumi wa nchi, sijui ndio GDP au GNP,,,sasa naomba jibu 1.9% ya GDP ni kiasi gani? alafu tuanzie hapo, mpaka sasa hakuna... kwa hiyo mimi sijui ni kubwa au ndogo!
Mahesabu mnayoleta hapo huu, walahi kama ndio mahesabu yangukuwa yanafanywa hivyo, kusingekuwa na haja ya Certification za CPA, au Degree za Hesabu...

Yeyote anayejua hesabu hahitaji kuwa Certfied Public Accountant (CPA) ili kujua 1.9% ni kitu kidogo sana. Huna mantiki yeyote katika kutetea hiyo 1.9% siku zote utabisha for the sake ya ubishi tu hata kama huna point ya kussuport your arguments!
Sasa hivi madini yanaingiza pesa nyingi Tanzania kuliko hata kilimo hasa ukitilia maanani ongezeko la bei ya dhahabu kufikia $824, hivyo kuendelea kuchangia 1.9% ya pato la Taifa ni kichekesho na aibu kubwa kwa nchi yetu.
Angalieni mapato na faida ya Barrick inavyoongozeka toka mwaka 2004 hadi 2006 kutokana na ongezeko la bei ya dhahabu katika soko la dunia. Sisi kichwa cha mwendawazimu hatuambulii chochote.
http://www.barrick.com/Investors/InvestorFactSheet/default.aspx