hicho tunachopoteza kinakwenda mifukoni mwa watu tena watanzania. usifikiri walisaini huku hajui wanacho saini, hiyo lugha ni ya kutudanganya sisi.Na wageni bado wanaendelea kukwapua madini yetu bila Watanzania kunufaika na lolote kutokana na rasilimali kubwa tulizojaliwa na Muumba.
Pamoja na kujua au kutojua wanachosaini kwenye hiyo mikataba, ushawahi kujua modality ya kusaini mikataba ya kimataifa na minono kama hiyo? hebu uliza waliowahi kushiriki............. in short mnaweza toka hapa kwenda USA kujadili mkataba na baaadaye kusaini,lakini mkifika huko kwanza mnapewa lodge nzuri sana huduma bora na aina zote za anasa,mkishakuwa mmechoka sasa ndio mambo ya mikataba yanakuja,definetely kwa wakati huo akili zimechoka,baadhi yenu washalewa au ni tayari saa tano tano sita usiku wengine wanasinzia document yenyewe page 25-30 atasoma mtu kweli hapo?hicho tunachopoteza kinakwenda mifukoni mwa watu tena watanzania. usifikiri walisaini huku hajui wanacho saini, hiyo lugha ni ya kutudanganya sisi.