Tanzania: Economist Intelligence Report

Haya mambo mazito wacha kwanza nitafute uji wa moto hapa Tarime nipata speed ya kusoma .Asante sana Inv
 
Mh, Invisible na wakuu wengine, hii kweli ni kitu ambayo haifai hata kuiongoelea.... Kuna Mkuu mmoja alisema wakati tunaongelea Richmonduli kwamba IPTL ni baba lao, kweli Tanzania kuna wananchi na wenyenchi

Mungu Ibariki Tz...
 
Mh, Invi.. na wakuu wengine, hii kweli ni kitu ambayo haifai hata kuiongoelea.... Kuna Mkuu mmoja alisema wakati tunaongelea Richmonduli kwamba IPTL ni baba lao, kweli Tanzania kuna wananchi na wenyenchi

Mungu Ibariki Tz...
Mkuu Morani75, huwa mara zote nawakumbusha hizi hoja alizowahi kuzileta hapa mkuu sam.

Kubwa ni hii:


Pia kwa new members wanaweza kusoma hizi hoja:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/63-cotecna-na-tiscan-iptl-nyingine.html


Na ndipo wajue kuwa bado safari ni ndefu...
 
JF imekuwaje? Nadhani kuna tatizo ama watu wamechoka ama watu makini wamekimbia baada ya watu wasio na adabu kuingia humu? Sijui kuna nini maana zile topic zenye mambo mazito kama hii na ile ya EPA na RA na ile ya doc za EPA na Bank M hazina wachangiaji kabisa. Hii inatisha na inaasharia
 

Labda mafisadi wameingia humu?
 
Good stuff Invisible. Thank you!
Ngoja nikompose email to some dudes



.
 
Unajua tayari wino wangu ushaisha na inabidi nifungue file la kila doc ...duh! asante sana Invisible
 
Good stuff Invisible. Thank you!
Ngoja nikompose email to some dudes.
Good job,

That's what is supposed to be done currently. Sambaza sana tu!

Unajua tayari wino wangu ushaisha na inabidi nifungue file la kila doc ...duh! asante sana Invisible
Take more notices, nakuaminia kwa kuchambua hoja kwa undani. Do your own investigation and come out with your observations.

Good job GT!
 
Inaonekana serikali imezoea kulikoroga na kama vile hakuna mtu anayeshtuka huko serikalini hasa viongozi it beggs you to wonder what they drink or smoke!
 

Its true, wewe watu tulikubaliana kushambulia yale majoka makuu mpaka yaanguke halafu leo hii wanakuja watu ambao wanakatisha matumaini ya wengine kama akina kada mpinzani na wengine kibao ambao wananufaika kwa namna moja au njingine kwa hayo majoka na hapo hapo yanapata sapoti kubwa hadi kutufanya watu na akili zetu tukate tamaa.i'm sure bado tuna safari ndefu sana kujikomboa maana waokula bila kufanya kazi ni wengi
 
What does this mean??

''Whether the campaign escalates further will only become apparent over time, but it is likely to fade away unless a major case with sufficient evidence, and few links to the current government, is found.''
 

....hapana kiranja..............topic zimekuwa nyingi mno tofauti na awali tulikotoka......sasa hivi kuna waharibifu wengi hapa JF nao inabidi washughulikiwe ili kulinda hadhi ya JF...............

.....nampa hongera pia GT kwa kufufua zile topic za maana......
 
Uchambuzi wa Jamaa hapo kuhusu IPTL umezidi kutupa picha ya nini kinaendelea nchini kwetu...Sijui ni Ujinga au Ndio wenzetu kupenda DUNIA na kujikusanyia MALI...ili HAli wakijua MALI wataiacha tu.......

Pesa za Corruptions zimejaa mtaani, kiasi ambacho mafisadi they are so care na Political Change...Na Bahati Mbaya zaid wale wanaonekana wapo mbele kuupinga Ufisadi ni vigumu kuwaamini..kwani baadhi yao wanaongeza BEI ZAO kwa mafisadi ili wasionekane cheap!!!

Vita dhidi ya Ufisadi hainekani kuwa in-built Move ktk MIOYO ya watu, but its a mere some people have been out of money circle...it means nao wakichomekewa mshiko VITA wanayopiga itakwisha!!!....

Lkn Binafsi sijakata Tamaa, najua wapo serious people wa kusimamia Ufisadi Uondoke...Hapa ndipo twahitaji kufanya Chekeche!!!
 
Kiranja,

ukisoma ile ripoti ya kwanza utaona kuw amambo mengi wanayosema/zungumza...hapa JF tumeshaya-discuss kwa saana tu.......ila wamenifurahisha sana kwani wao wameenda zaidi kwa kuweka statistical information na hasa za uchumi

pili kuhusu Tanesco Vs IPTL....nayo tulishaijadili saana tu.......kilichofanyika ktk hiyo paper ya Mkono ni ku-summarize most of the facts

how do we link between the two docs...........ukirudia kusoma tena ile doc ya kwanza utaona kuwa mambo kama ya IPTL yanajirudia na ni most likely kujirudia tena na tena....na hivyo kuongeza Government spending kiufisadi....thus everything uchumi-wise kinakuwa unsustainable or hatuwezi ku-attain............

....Ushauri mwingi tulishatoa kuhusu nini kifanyike ili kuokoa hali iliyopo.............pitia topic husika utajionea.......usisahau pia kusoma Marshal plan ya Rev Kishoka........mwenye macho na akaisome na kuboresha ikibidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…