Ndugu watanzania wenzangu naomba tuangalie suala la elimu na hasa kuhusu suala la ujenzi wa mahabara katika shale zetu za kata. Serikali inamtaka Lila mwananchi aahiriki katika ujenzi wa maabara na hili hali pesa zote za wananchi wanafuja pesa zote kwenye bmk kwa nini hizo pesa wasinge zipeleka kwenye ujenzi wa maabara za shule za kata, mi naomba ndugu zangu wrote suhala hili la mahabara tusitoe pesa zetu mfukoni hizo walizopeana kiinua mgongo name shukrani katika bmk zimewatosha.