Tanzania elimu inaelekea wapi?

jakoracha

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
67
Reaction score
9
Ndugu watanzania wenzangu naomba tuangalie suala la elimu na hasa kuhusu suala la ujenzi wa mahabara katika shale zetu za kata. Serikali inamtaka Lila mwananchi aahiriki katika ujenzi wa maabara na hili hali pesa zote za wananchi wanafuja pesa zote kwenye bmk kwa nini hizo pesa wasinge zipeleka kwenye ujenzi wa maabara za shule za kata, mi naomba ndugu zangu wrote suhala hili la mahabara tusitoe pesa zetu mfukoni hizo walizopeana kiinua mgongo name shukrani katika bmk zimewatosha.
 
Mbona TUNDU LISU anapowakataza wananchi wa jimbo lake hakuna kuchangia fedha yoyote ya maendeleo hamuelewi, mnamuona kama mwehu vile. Kumbe sasa mtaanza kuelewa polepole eeh.
 

wajinga ndio waliwao,kwani ukikataa kutoa watakufanya nini
 
Hao wa nguo za kija zile za sh 1000 ndo wajinga kwelikweli
 
Siasa inaua elimu ta Tanzania.

Siasa kwenye elimu, siasa elimu.

Ndugu, title yako ni nzuri ila content nadhani haiendani na title yako. Unachanganya politics na elimu.

Ungejadili suala la elimu peke yake ingekuwa bomba, kuliko kuingiza suala la BMK, hapo unagusa maslahi na misimamo ya vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…