KERO Tanzania eVisa website kuna changamoto gani?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali

Mwingine kaandika hivi

"May I please ask for your help on who we can email or call to check on the evisa portal? We are trying to access the website but it's been down since late last week"
Lakini pia namba zenu za simu zilizopo kwa website hazipatikani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…