Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
- Thread starter
-
- #21
Vipi jirani, unataka huduma?
Bring kuku watano -weupe, mchele 25kg, chumvi 5kg, sukari 10kg na nazi
kiroba kimoja. Pia uje na hela za technical committee Tsh 500,000.
Utafurahi na huduma. Karibu sana.
niambie tu yote ni hela ngapi nikutumie utanunua hao kuku na kadhalika.
haya bwana kwa hiyo nizilete au nizipeleke wapi?Ukitaka vya uvunguni sharti uiname! Unetakiwa kuleta vitu vyote hivyo mkononi baba! Usivunje masharti.
haya bwana kwa hiyo nizilete au nizipeleke wapi?
Wakati umefika wa kuanza kuvuna mahela toka Kenya.... maana wahenga walisema ''wajinga ndiyo.......''