Ni kweli, hatuwezi jadili jambo na watu wasio na experience, wasioelewa lolote, tutawahitaji wakenya wakati tukizungumzia masuala ya Diesel trains au masuala ya Tazara.Yaani Ethiopia na Tz ndio wajadili issue Za umeme tu sahv. ..muda ukibaki ndio tuzungumze issue za diesel
Hapa sio wingi wa umeme mbali ni quality. Tz inasambaza umeme wake kwa Hertz ngapi?Umeme upo mwingi2
Mwaka wa3 hakujakuepo mgao wa umeme
Siku hz uko makini sana na habari za tz!
Continue your good job bros[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rahco is seeking the supply, testing and
commissioning of 14 electric locomotives for
freight trains and five electric multiple units
(EMU).
Inamaana hii ipo kwenye taarifa tofauti na hiyo ya 2 diesel locomotives?
Af unajua we ni mjingaHapa sio wingi wa umeme mbali ni quality. Tz inasambaza umeme wake kwa Hertz ngapi?
Sawa na Kenya. 50/60Hz.Hapa sio wingi wa umeme mbali ni quality. Tz inasambaza umeme wake kwa Hertz ngapi?
Roho inamuuma hujui hizo diesel locomotives mbili ni kwa ajili ya narrow gauge!Sasa cha ajabu kipi hapo? Inajulikana muda mrefu kwamba reli itatumia electric and diesel trains yani we umeona 2 diesel locomotives ni big deal kuliko 19 electric locomotives? Unashangaza
Tena siyo yote vile ulikuwa unajichocha? Fala wewe.Tunagawana Uganda's cargo business
Fala ukoo wakoTena siyo yote vile ulikuwa unajichocha? Fala wewe.
hahaha....
Rahco is also seeking the supply of two diesel locomotives...???
Hapa sio wingi wa umeme mbali ni quality. Tz inasambaza umeme wake kwa Hertz ngapi?
Hakuna kitu kibaya kama kuwashwa washwa! Nini kinakuwasha washa wewe msee?Hapa sio wingi wa umeme mbali ni quality. Tz inasambaza umeme wake kwa Hertz ngapi?
Haha, nimecheka duh [emoji23]Hakuna kitu kibaya kama kuwashwa washwa! Nini kinakuwasha washa wewe msee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]