Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani mleta mada huenda ukawa una tatizo binafsi na tff na sio hoja ya majengoHapo unaona kabisa nani yopo serious. Ngoja tuendelee kusindikiza walio jiandaa.
Hao TFF wanachojua ni kufungia ni adhabu zao kali. Wanapata pesa za Fifa haijulikani huwa zinaishia wapi.
Majengo ya Rwanda na ya Zambia ni maghorofa na ni makubwa kuliko TFF ambayo utadhani ni ofisi ya kata. Ubora wa tasisis yoyote inayojiendesha yenyewe huanzia na mazingira yao ya kufanyia kazi; hata kwa vyam,a vya siasa.hapo jengo la Rwanda,Zambia wala hayajaachana na la tz,ilo la UG ndo linaendelea kujengwa ungeweka lililopo sasa.
Ili lilinganishwe na linalojengwa na tffhapo jengo la Rwanda,Zambia wala hayajaachana na la tz,ilo la UG ndo linaendelea kujengwa ungeweka lililopo sasa.
Hamna kitu kama hicho fifa wenyewe siasa tupu. Fifa ukiwa nao vizuri hela yao wala hawafuatilii. Ila sasa uwakosle mbona utajuta...hela yao wataifuatilia kinoma noma.Nadhani mleta mada huenda ukawa una tatizo binafsi na tff na sio hoja ya majengo
Hoja yako ya pili ya fedha za fifa ndo umejichanganya kabisa, fifa wako serious mno na hela zao, zisipojulikana matumizi yake hupati tena,
Jifunze kufuatilia kabla hujaandika