Tanzania funguka macho, mnaendeleza wanyarwanda mwisho wanatumikia nchi zao

Tanzania funguka macho, mnaendeleza wanyarwanda mwisho wanatumikia nchi zao

MWAYA

New Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4
Reaction score
3
Professor SILAS LWAKABAMBA ambaye ni waziri wa ujenzi wa Rwanda ni mnyarwanda wa muda mrefu ila alikaa Tanzania anakula nchi tu kama Mtamzania. ana miliki Ngombe nyingi na heka nyingi sana kAGERA AMEAJIRI WANYARWANDA TUUUUU. Kweli Tanzania shamba la bibi
 
Bado akina Ntukamazina (Mb) na Marehemu Maj Jenerali Kamazima (EX - TAKUKURU Boss)!! Ni wengi tuuuu!!!
 
ndio unajua leo....bora hao kuliko wachina....ccm oyeeeeee
 
Uliza aliyekuwa katibu mkuu utumishi....somebody Rugayimuheto ni mtz au mrundi na alifikaje position ile ilhali tunadai eti kwa ujasusi Tanzania iko juu.
 
peter selukamba mbunge kgm mjini ccm ni mtusi mnyarwanda, kafikaje pale? waache sisi ni vilaza tu. tumezidi ujuaji.
 
Professor SILAS LWAKABAMBA ambaye ni waziri wa ujenzi wa Rwanda ni mnyarwanda wa muda mrefu ila alikaa Tanzania anakula nchi tu kama Mtamzania. ana miliki Ngombe nyingi na heka nyingi sana kAGERA AMEAJIRI WANYARWANDA TUUUUU. Kweli Tanzania shamba la bibi
Kumiliki mali nje ya nchi kuna kosa gani bwana mdogo! Kazi ni kwetu kutoza kodi na kuhakikisha taifa linafaidika. Hata kama Kagame katutukana panapohitajika kuwatetea nitafanya hivyo.
 
africa ni yetu , ni kazi kuwatofautisha waafrica hivyo kwa kiasi fulani wana haki ya kutumia rasrmali za kwao, kwa kauli yako inamaana na watanganyika walio nchi kama zimbabwe, msumbiji, zambia nao wafukuzwe?
kinachoniuma mimi ni ardhi kuwapa wachina, waarabu na wadhungu
 
Ubinafsi na ubaguzi huo,kwani hakuna watanzania ambao wapo rwanda,kwa nyadhifa mbalimbali?tena kuna waziri wa rwanda ni mtanzania alikuwa profesa huku tz,hakuna watz kenya,uganda,etc

angalia marekani asilimia kubwa ya matajiri ni wahamiaji sio wazawa na Obama aliadmitt na akazidi kupunguza masharti ya wageni.daima wazalendo uwa mbumbumbu wanaiamini nchi yao but wageni huwa wanakuwa na mafanikio coz wanatumia opportunity
 
Hacheni ukabila. Ukitaka kuijua afrika rudi miaka 500 nyuma mkoloni alipoingia afrika na badae kuigawa vipande ( nchi). Katika kuigawa hawakunzigatia kwamba watu fulani mfano wahaya wanaendana na warundi, wanyarwanda na waganda. Hivyo kuna makabila ambayo yalijikuta mipaka yao ya asili haijahsthirika wote wakabaki ndani ya eneo mmoja lilitengwa mfano wasukuma, wachaga nk. Wale wa mipakani mimi mwenyewe mhaya ni kiwemo baada ya maeneo kupata uhuru kuwa nchi kamili na matumaini kupotea kwa raia sasa waliotegemea neema baada ya uhuru ndo tukaanza kusakamwa kwamba ni waganda, warundi, wanyarwanda, nk.
Kuna mtu alishawahi kujiuliza tukirudishwa uganda, rwanda, burundi, congo, malawi hayo maeneo yatakuwa ya nani? Kagera itakuwa ya nani? Msukuma, mpare au mchaga?
Tuache chuki. Kama ni fursa chache viongozi ndo wa kuajibishwa wainue uchumi lakini si kuendelea kusema eti tunaendeleza wanyarwanda. Huyo profesa Mnayemsema amekaa udsm engineering akipigika na wengine kama prof mama masanja mtaalam wa hesabu, kagame akawachukua wakamsaidia kuendeleza taifa lake nyie mkabaki na siasa za mtandao.
Let us see things in 3D
 
Professor SILAS LWAKABAMBA ambaye ni waziri wa ujenzi wa Rwanda ni mnyarwanda wa muda mrefu ila alikaa Tanzania anakula nchi tu kama Mtamzania. ana miliki Ngombe nyingi na heka nyingi sana kAGERA AMEAJIRI WANYARWANDA TUUUUU. Kweli Tanzania shamba la bibi

Uvivu ni nyumba ya njaa, uvivu wa kufikiri ni majanga!...UMASKINI WAKO HAULETWI NA MNYARWANDA, NA HAUTAFUTWA NA UBAGUZI!
 
ndio unajua leo....bora hao kuliko wachina....ccm oyeeeeee

Mkuu nadhani hii ndio shida kubwa tuliyonayo, tunalinganisha nani ana unafuu katika kudhulumu/kufilisi/kuinyonya nchi katika sekta mbalimbali za Taifa. mf. Wachina na wanyarwanda...Hii ndio ifanyayo nchi kuwa kioja, maana mtu yeyote atafanyiwa ulinganifu(comparison) na mwingine aidha ni ufisadi n.k na yule aliyefanya ufilisi mkubwa ndiye mwenye kuonekana mbaya na yule mwingine kuachwa tu (kuonekana ana UNAFUU) regarless of tremendous loss kwa Nchi!
 
Bado akina Ntukamazina (Mb) na Marehemu Maj Jenerali Kamazima (EX - TAKUKURU Boss)!! Ni wengi tuuuu!!!
jenerali ulimwengu nae vp wa huko huko?nakumbuka enzi za mkapa kulitokea issue kuhusu uraia wake.
 
Jamani tuwe wakweli na fanya analyisis pale kuna watanzania kibao maprofesa kutoka UDS, telemka Botswana kuna madaktari kibao.
Kila Mh Raisi anapotembekea nje ys nchi anakutana na watanzania wanaotumikia nchi nyingine.
Ma kati ya mapato ya nchi ni remitance kurudi nyumbani.
Huwa unajja magari yenye no Nyumundu DFP kuwa aslimia kubwa nj expatriate wanaokuja kurusaidia.
Funguka bro uwe na mrazamo chanha.
 
vp kama swala ni unyarwanda mbona wahindi kibao wanachuma na kuwekeza canada tusiwe wavivu wa kufikilia chuo kukuu cha dar es salaam kilipata heshima kubwa miaka ya 70 katika kitivo cha historia lakini mbona wengi wao hawakuwa watanzania kwa mfano prof. Wamba de hakuna anaesema tuangalie ya msingi nini ajira ya kuchunga ng'ombe mnadiscus wakati ardhi inauzwa kwa wasio hata waafrika
 
Kumiliki mali nje ya nchi kuna kosa gani bwana mdogo! Kazi ni kwetu kutoza kodi na kuhakikisha taifa linafaidika. Hata kama Kagame katutukana panapohitajika kuwatetea nitafanya hivyo.
Si useme tu kama ni ndugu zako! Kumiliki kama raia halali na kumiliki kama raia bandia ni vitu viwili tofauti, lazima kuwe na consequence
 
Ubinafsi na ubaguzi huo,kwani hakuna watanzania ambao wapo rwanda,kwa nyadhifa mbalimbali?tena kuna waziri wa rwanda ni mtanzania alikuwa profesa huku tz,hakuna watz kenya,uganda,etc

angalia marekani asilimia kubwa ya matajiri ni wahamiaji sio wazawa na Obama aliadmitt na akazidi kupunguza masharti ya wageni.daima wazalendo uwa mbumbumbu wanaiamini nchi yao but wageni huwa wanakuwa na mafanikio coz wanatumia opportunity
Yaani wewe kweli uko gizani tena kwenye mtungi uliofunikwa na majani ya mgomba.
 
Professor SILAS LWAKABAMBA ambaye ni waziri wa ujenzi wa Rwanda ni mnyarwanda wa muda mrefu ila alikaa Tanzania anakula nchi tu kama Mtamzania. ana miliki Ngombe nyingi na heka nyingi sana kAGERA AMEAJIRI WANYARWANDA TUUUUU. Kweli Tanzania shamba la bibi
Hata kama watuona wabaguzi maana wanatumiahili neno eti wabaguzi ili wapate jinsi ya kujitanua. Kule kwao nendo chunguza uone kama kuna watanzania wakko kwenye post ajiajiriwa tu ni majungu kwenda mbele wanasema nyamahanga mwisho wanatolewa uliza wako wapi leo hii watanzania waliokuwa wanafanya KIST wote wamerudi home baada ya kuona jinsi wanavyobaguliwa na kuknyanyaswa kisa nyamahanga. Nafikiri sasa tuanze kuwataja mmoja mmoja yuko wapi, anafanya nini na vipi anaisaidia Tanzania katika maendeleo baada ya kupewa uraia zaidi wote utakuwa ni mamluki.
 
Back
Top Bottom